Masta ya kupanga

Man Mvua

JF-Expert Member
Apr 12, 2016
2,184
3,517
Wana jukwaa nahitaji chumba cha kupanga maeneo haya Magomeni, kinondoni B, Temeke, kijitonyama, Kunduchi na Chang'ombe. Budget yangu ni kuanzia elfu 50 hadi 60. Kodi awe tayari kupokea ya miezi mitatu . Dalali awe tayari kuchukua nusu kodi kama hataki basi aache tu.
Napatikana kwa:

0655646568 /0756200086 /0786477112
 
Master bedroom kwa hiyo bei hupati kwa hayo maeneo..Ongeza budget au widen machaguo ya maeneo ukilenga nje ya mji Pugu ,Chanika etc

Ukipata kwa hiyo kuwa makini either mafuriko au utaacha kodi
 
Zipo mkuu ngoja waje.magomeni na kinondoni manyanya nilishawahi kusikia za bei hiyo.
 
Aisee,
Haya masharti na Vigezo vyako,
Ukiipata Dar es salaam ninayoishi nakujua mimi,
Nitafute, Nitaangalia uwezekano wa kukupatia zawadi.
[HASHTAG]#dalalitz[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom