"massanja mkandamizaji" kujiita ameokoka tena mchungaji mtarajiwa!!!

attachment.php

AWE NA KIASI TU..... Asilewe hata YESU alikunywa sana Divai ambayo ni Pombe
 
Tatizo ni upotoshaji unaofanywa na baadhi ya walokole kudai kuwa kunywa pombe ni dhambi. Wakiwa wanajua hilo wachungaji wengi wanakunywa kisirisiri na wala sio dhambi. DHAMBI ZIMEORODHESHWA nazo ni kumi. Kama kuna ya kumi na moja ya kunywa pombe ,na tuambiwe mara moja.

Soma hizi hapa orignal version na ufafanuzi kidogo tu umetolewa. Ukifanya kazi siku ya Saba ya wiki ni "DHAMBI"

[SIZE=+1] I am the Lord thy God[/SIZE] [SIZE=+1],
who have brought thee out of the land of Egypt (Mizrahim), out of the house of bondage. [/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not have strange gods before me[/SIZE]
[SIZE=+1]Thou shalt not make for thyself any graven image[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not take the name of the Lord thy God in vain[/SIZE] [SIZE=+1];
for the Lord will not hold him guiltless that takes his name in vain.[/SIZE]

[SIZE=+1]Remember to keep holy the sabbath day[/SIZE] [SIZE=+1];
six days shalt thou labor, and do all thy work; but the seventh day is a sabbath, that is, the rest of the Lord thy God. Thou shalt not do any work therein, thou, nor thy son, nor thy daughter, nor thy manservant, nor thy maidservant, nor thy ox, nor thy ass, nor any of thy beasts, nor the stranger that is within thy gates; that thy manservant and thy maidservant may rest, even as thyself. Remember that thou also didst serve in Egypt, and the Lord thy God brought thee out from thence with a strong hand, and a stretched out arm. Therefore hath he commanded thee that thou shouldst observe the sabbath day. [/SIZE]

[SIZE=+1]Honour thy father and mother
[SIZE=+1] that thy days be long in the land which the Lord gives thee. [/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not kill.[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not commit adultery.[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not steal.[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not bear false witness against thy neighbor.[/SIZE]

[SIZE=+1]Thou shalt not covet thy neighbor's wife.[/SIZE]
[SIZE=+1]Thou shalt not covet thy neighbor's (goods)[/SIZE][/SIZE]

Yesu alisema haya maneno

Luka 10:7
"Kaeni katika nyumba hiyo Mkila na KUNYWA wanavyowapeni"

Luka 7:33-34
" Alikuja Yohana Hali wala HANYWI wakasema ana pepo, kaja Mwana wa Adamu (YESU), akila na KUNYWA, wakasema ni mlafi na MLEVI na rafiki ya watoza ushuru na wenye dhambi"
 
Mchekashaji huyu ambaye amepata kibali kwa watanzania hasa wapenda comedy origino amekuwa akijiita AMEOKOKA tena MCHUNGAJI MTARAJIWA. Lakini matendo yake hayaendani kweli na watu hao, jana katika page yake ya facebook amejiweka picha yake akiwa anakunywa ulanzi na akaandika ulanzi.com. Katika comment ambazo fans wake walicomment, baaadhi yao walionekana wakishaangaa na kusitushwa na picha ana maneno yale.Kiuhalisia Massanja hajaokoka (mtazamo wangu) nikutokana na baadhi ya mambo anayoyafanya hayaendani na hao waliookoka, ctukatai kufurahisha jamii kwa njia ya sanaa ya vichekesho lakini anapojiita ni mchungaji mtarajiwa au ameokoka basi sanaa yake itumike kuelimisha jamii katika maadili ya kikristo kweli. Anachafua uhalisia wa dini ya kikriisto.

Hivi kuna watu waliookoka? Me napita tu lakini.
 
Mwache Ajiite Hata Massiah...si unajua hatuwez kumnyooshe vidole hapa Duniani...hukumu yake mbele

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Tumeambiwa usihukumu mwenye mamlaka ya kuhukumu ni 1, Jionee huruma nafsi yako kabla ya kufikiria ya mtu mwingine. JISIKITIKIE Mwenyewe
Mchekashaji huyu ambaye amepata kibali kwa watanzania hasa wapenda comedy origino amekuwa akijiita AMEOKOKA tena MCHUNGAJI MTARAJIWA. Lakini matendo yake hayaendani kweli na watu hao, jana katika page yake ya facebook amejiweka picha yake akiwa anakunywa ulanzi na akaandika ulanzi.com. Katika comment ambazo fans wake walicomment, baaadhi yao walionekana wakishaangaa na kusitushwa na picha ana maneno yale.Kiuhalisia Massanja hajaokoka (mtazamo wangu) nikutokana na baadhi ya mambo anayoyafanya hayaendani na hao waliookoka, ctukatai kufurahisha jamii kwa njia ya sanaa ya vichekesho lakini anapojiita ni mchungaji mtarajiwa au ameokoka basi sanaa yake itumike kuelimisha jamii katika maadili ya kikristo kweli. Anachafua uhalisia wa dini ya kikriisto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom