massage place hapa Dar

elba10

Member
Sep 27, 2011
11
1
Za mchana jamani.
Naombeni kunijuza sehemu nzuri za kupata massage therapy kwa hapa Dar,
ukiweza kuweka na gharama nitashukuru sana na pia sehemu zilipo.
 
Nenda pale colloseum ,am not sure spelling ziko sahihi
Wako vizuri mpaka basii mkuu
 
Za mchana jamani.
Naombeni kunijuza sehemu nzuri za kupata massage therapy kwa hapa Dar,
ukiweza kuweka na gharama nitashukuru sana na pia sehemu zilipo.

Hizo zipi nyingi sana mkuu inategemea na standard yako tu. Kuna THE TOUCH SPA ipo new africa hotel na kunduchi beach bei ni kama 42 dollar kwa nusu saa. Zile za bei rahisi zipo kibao maeneo ya sinza,nwenge na makumbusho pale sokoni,bei ni kama 40000 tsh kwa saa na kuna extra service ukizihitaji check vizuri humu ndani kuna thread inayohusu hizo mushrooming spas.
 
Wajameni.
msinichukulie pouwa niko vizuri meeeeeeeeeeeeeeeeen!
mimi mgeni bongoland nipeni madarection ya huko hata kama collossium.
na huko k'nyama, k'ndoni
issues hapa ni mahali.
 
mbona majibu cpati nami naondoka j tatu kwenda arachugaaaaaaaaaaaaa
 
ATLANTIS hotel oysterbay zamani karibu hotel , The Look victoria , Serena Sayansi Knyama
 
Za kinondoni pia zina ile hidden service, so kama wewe ni kama mimi unapenda yale mambo yetu basi kinondoni ni muafaka kwako!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom