Essuyé mimi nina px Sina ta HP élitebook 6930p...nikiiwasha inaandika hapo nilichokiandika halo juu, na nikijaribu kuiwasha les power button haiwaki had Normie info button ndo inawaka Lakini nikiiwasha inafanya Kazi vizuri tu...msaada tafadhali wakuu ili ujumbe huu Uondoke wakati naiwasha