Mass Wedding ni Suluhisho Kwenye usawa huu wa JPM

Ethos

JF-Expert Member
Aug 1, 2015
2,294
2,057
Habari Wakuu..

Natarajia kuoa na kufanya Harusi mwezi huu wa December.. Kutokana na Gharama na hali Halisi kifedha Kwa wengi (hakuna dili siku Hizi) mass wedding zingesaidia wengi!

Yaani wanakusanyika hata maharusi kumi wanatafuta ukumbi mkubwa mambo yanaendelea Kwa kila mmoja kuchangisha kidogo.. Economies of Scale...

Siku Hizi watu wanakwepa kamati za Harusi au kutoa michango so ni vyema tukawa na njia mbadala Plan B


Ni Gharama ndogo na inakuwa tamu pia... Who is ready tuanzishe hiyo project Arusha?
 
Kwani lazima watu wengi wawepo? Unaweza kwenda na ndugu zako wachache wa karibu mkamaliza kimya kimya....
 
Back
Top Bottom