Masoud Kipanya na taswira ya viongozi wetu wabadhirifu

Kuna sehemu Ofisi ya Serikali wanapokea mapato CASH sikuhizi?em tukumbushane

ilibaki parking
Nayo naona kitu control number
 
Hayajaanza leo haya jamani watawala ndivyo walivyo toka enzi za Sulemani kina Daudi n.k. Yani mpka Daudi akamtuma Huria vitani front akafe ili amle mke wa Huria. So hakuna jipya ww kama hujabahatika kutawala jitafutie chako ule na familia yako umshukuru Mungu kwa riziki baaaasi.
 
Nimewaza vile Mbowe, Tundu na wenzao walivyotafuna ruzuku miaka30 wakashindwa kujenga hata office

Halafu wakaanza kumlaumu hayati kaficha mara anafanya miradi mikubwa mara anatakiwa kukopa
Another harlot at her best, he/she who alleges must prove otherwise your neck will be our right.
 
adui sio ccm bali viongozi wa ccm
Tena si viongozi wa ccm bali baadhi ya viongozi wa chache sana wa chama. Chama kinatakiwa kuisimamia serikali, lakini kuna mahali nilikuta serikali imelazimika kusimamia in away chama. Mjumbe wa chama assiye muadilifu anasiriki kuuauza ardhi ya wananchi bila kufuata taratibu, serikali ilimshughulikia.
 
Back
Top Bottom