Masoud Kipanya: Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka

Na kwa sasa anatumia huu uzaifu kujiingizia kipato, Wanamlipa kwa Mwezi, Miezi, Mwaka ili waendelee kupata wenyewe wanaita 'ubuyu'.
Huyu amechafua watu wengi mno, watu wakifarakana ni furaha kwake na hajali.
Mdomo wake hauna breki, anajiita dada wa taifa sijui nani kampa cheo hicho
 
Huyu amechafua watu wengi mno, watu wakifarakana ni furaha kwake na hajali.
Mdomo wake hauna breki, anajiita dada wa taifa sijui nani kampa cheo hicho
Ndio hivyo.
IMG_20220124_134011.jpg
 
“Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa"

"Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa ila kuna mwingine akifuata dini inavyotaka inakuwa shida”

Masoud Kipanya

====

Siku za karibuni Masoud amekuwa akiandamwa na dada maarufu mtandaoni juu ya ndoa yake mpya ya mke wa nne ambayo anadai imepeleka huzuni kwa mke wake wa kwanza.

Pia, soma=> Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

View attachment 2093665
Hivi Hawa islam huwa hawana justification nyingine ya kuoa wanawake wengi zaidi ya kusema Kuna watu Wana mke mmoja lakini mahawala wengi!!
Wakioa wengi,wanafata dini,wakifunga wanafata dini,lakini ukikuta wanabwia urabu na maasi mengine,hapo ukihoji,wanakuambia kwani wewe unafata sheria zote za dini
 
Atakuwa anaandika hata uongo ili mradi tu yeye apate wasomaji ale pesa. Yule dada yani anaweza kumzushia kitu chochote mtu na wafuasi wakaamini. Unakumbuka aliposema ray anachunguzwa kwa kumuua kanumba? Ray alipojaribu kujitetea lilikuwa kosa alimtukana kila aina ya tusi.
Mi huwa namuona kama anafanana na tumbili Mungu anisamehe bure
 
“Maisha yangu mimi sio ya kuyaweka hadharani kama watu wanavyotaka, dunia tuliyopo kuna vitu vikifanyika watu wanaona kawaida na vile vya kawaida vinaonekana sio sawa"

"Kuna mtu anaweza akawa na mwenza mmoja lakini nyuma yake ana 'watu' wengi sana na kila mwaka anabadilisha na watu wanaona sawa ila kuna mwingine akifuata dini inavyotaka inakuwa shida”

Masoud Kipanya

====

Siku za karibuni Masoud amekuwa akiandamwa na dada maarufu mtandaoni juu ya ndoa yake mpya ya mke wa nne ambayo anadai imepeleka huzuni kwa mke wake wa kwanza.

Pia, soma=> Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

View attachment 2093665

5AAF171B-FC7E-4874-8250-B90DF1FB21D0.jpeg
 
'Kuwatunza 'ni nebo pana sana mkuu! Inaweza hata isuhusishe pesa za cartoons,
Huyo mke mmoja, kasheshiba vzur hana stress unaweza usimtunze vzr kwa bed !!! , Haya fanya ndo wapo wannne , washashiba ?? Maana naamini jamaa pesa ya kuwatunza ipo.
Usikwambie mtu, ukiwa na wake wengi au mahawara wengi Abdallah kichwanwazi ndio anacharuka kisawasawa, kuliko kuwa na kimke kimoja mara kikuletee pozi kachoka ndio na weww anaadopt uzembe wa mwanamke.
 
Back
Top Bottom