Masoud Kipanya katika ubora wake juu ya hama hama ya wanasiasa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
#MwananchiKatuni #Kipanya
D05PtJHWoAAI3T8.jpg
 
Membo ni mengi sana muda ni mdogo sana anyway mambo yasiwe mengi mengi yasiwe mambo.!
 
Mambo yasiwe mengi tunakusubiri Mzee Sumaye. Rudi nyumbani kumenoga.

Sent using my Nokia Torch
 
Hahahahaaa kipanyaaaa !!! Anaburudisha sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku hii burudani tutaikosa kabisa me naamini au ninahisi kuna sheria itakuja kutungwa ili kuzuia hizi katuni za viongozi na ukichora umeenda jela ninacho mshauri kipanya aanze kuandaa mazingira ya kuhama nchi ili ikitokea la kutokea ana hama na anakua anachorea huko huko huku tunazipata mtandaoni tu kama atataka kuendelea na hiyo kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom