Masoud Kipanya is wrong about SUA

Wataalamu wa SUA wanapigika mtaani kwa kukosa ajira.Kilimo chenyewe cha jembe la mkono
 
Ndo hapo sasa mtu kasomea IT anaenda kuwa Bwana shamba wapi na wapi wakuu?

Huyu mtoa hoja anajaribu kuhalalisha uoza uliojaa kwenye sekta mbali mbali za ajira. Mtu kasomea BSc Horticulture au BSC Agro-mechanical anafanya kazi kama bank teller, muulize kama ndo alichosomea! Je hayo masomo ya Agriculture huko SUA huwa kwenye job prospects za hizo courses zao kuna working in banking sector kama nani? Je, anataka kutuambia kwamba hakuna haja ya watu kusoma Bcom na BBA ila watu wasome hovyo tu... mradi tu ni degree!
 
Kwa bahati mbaya hujaambatanisha Cartoon aliyoweka Kipanya as Reffernce..
Ila kama alchokisema Masoud ndicho ulichoandika ,, basi Critism ulizozitoa ni za kweli kabisa. Nimependa sana jinsi ulivyoweza kuandika kwa Mifano ,pamaoja na kumtolea Mfano yeye mwenyewe na hata Mzazi wake .
Ni kweli kabisa SUA kimeoneka kikitoa wa2 wengi kuliko vyuo vingine , na ni kutokana na Ufanisi wa waliopo kwnye Soko kufanya Kazi kwa uwezo wa juu kabisa.
Kuhusina na Proffesional ,Masud ungerudi tenna chuoni hapo Na kuchunguaza kwa Makini Coz wanazozitoa Pamoja na Chuo kishiriki chake kinachotoa 99% ya coz zake kwnye mambo ya finance.
Masoud Cartoon unaweza , ila jitahidi kuchora vitu baada ya kuchunguza . Take it as a challenge.. "
Big Up sana kwa Kazi zako nyingi nzuri unazozitoa .. Endelea kukaza Kamba .

Kuna advantages nyingi kwa waajiri kwenye sekta ya banks kwani watu kutoka SUA wanajua kwamba soko la ajira wakifuata specializations zao hawawezi kuajiriwa kwa urahisi. SUA graduates wengi wamekuwa kimbilio kwa mabenki kama NMB, CRDB na NBC kwa sababu wako tayari kwenda mikoa iliyo pembezoni, na wakishaajiriwa huwa hawana tamaa ya kuhama hama kwani wanaona kuajiriwa huko benki ni kama wamependelewa ukizingatia wamesomea ufugaji wa nyuki wasiotoa asali! So this is not a surprise...
 
Hebu tuacheni ushabiki, kazi za benki ukiondoa zile kwenye higher management level ni kwa ajili ya ghigh school graduates. Is only kwamba sisi na hali ngumu yetu ya uchumi na ajira inabidi hata mainjinia wanakuwa bank tellers and I know many of them. How come wewe ukae darasani for four years unasoma say Mechanical Engineering, Agriculture Engineering au Agronomy ukidream kuja kuwa bank teller?????? Tuacheni utani Masudi is right, hii ni misaapropriation of resources how much moneys zinatumika kuproduce agronomist au vertenary dr? Je gharama hiyo ni sahihi kuproduce mtu anayekwenda kutumia only about 1% ya knowledge aliyonayo?Na je mbona hatujasikia graduates wa Muhimbili wakifanya kazi benki?????????
Bank teller ni just part of other fields mtu anatakiwa kujua kama banker,na wengi wanaanzia hapa esp. bank officer trainees halafu you move to other departments pia kujua more about banking, kwa hiyo usione graduate bank teller ukaanza madharau...from there you can grow to any level..na graduates ndio watu wanaochukuliwa siku hizi coz they can learn kila kitu regardless of their professionals...a SUA graduate can fit in HR,Treasury,Forex,Operation,na hata IT department....ndio maana shule ya SUA ngumu to make you fit wherever...
 
Infact, with the quality of training SUA is offering nothing is impossible. SUA can even train rats to detect landmines faster and efficiently than machines!! The rats can diagnose tuberculosis faster than machines and and with amazing accuracy!! Ije human being kuwa banker?

I also rememeber this guy, one of the big shots at International Atomic Energy Agency (IAEA), Prof Salema, tena kasomea udungo, au naye alipewa hiyo kazi na the so called system mbovu ya Tanzania? Wenye hoja muflis watasema oooh kaingilia kazi za El Baradei
Mbona hamumpingi Tibaijuka? Naye alipelekwa na system ya Bongo?
Na Mshindo Msolla? Kasomea udongo, akawa coach wa Taifa Stars... Kaingilia kazi... Na wako wengi tu .... Basi hakuna kazi itayobaki... Jamaa wa SUA wataendelea kuzizoa!!
Na hawajui ni gani graduates wa SUA wanakimbiza kwenye kazi....kwani hao wanaoajiri hawaoni graduates wa professions husika hadi wachkue from SUA? They have the secret I think
 
Bank teller ni just part of other fields mtu anatakiwa kujua kama banker,na wengi wanaanzia hapa esp. bank officer trainees halafu you move to other departments pia kujua more about banking, kwa hiyo usione graduate bank teller ukaanza madharau...from there you can grow to any level..na graduates ndio watu wanaochukuliwa siku hizi coz they can learn kila kitu regardless of their professionals...a SUA graduate can fit in HR,Treasury,Forex,Operation,na hata IT department....ndio maana shule ya SUA ngumu to make you fit wherever...

Vyote hivyo inawezekana but not IT department.
 
mi nawajua wawili SUA graduates wa Food science saiv ni mabank teller haaaaaaah haaaaaaaah
 
Masoud is absolute right and correct, Tz ni majanga matupu hasa kama hauna connection.
 
Yaani hapa umetia mbwembwe ili nawe uonekane msomi kutokuona tatizo ndio tatizo kubwa tulilonalo wabongo. Graduate kuwa bank teller mbona ndio mpango mzima hata kama wametoka SUA na mbona wapo vijana tunawajua na wenyewe wanajijua.

Kuzalisha scientist kwa gharama kubwa na kwenda kumpa kazi routine ambazo hata mtu wa Form IV anaweza fanya vizuri ndio point ya KP sasa msikwepe ukweli kwa kuleta mbwembwe na kutaja watu ambao hata tija zao kama scientists are in question.

KP has a point, wapo pia ambao wanasoma kozi sio kwa kupenda bali lazima waende shule na matokeo yake wanapomaliza ule wito haupo na wanafanya vitu vingine na ndio maana tunambwela kwa muda mrefu. Vitu ulivyojivunia ktk bandiko lako ndio tatizo lenyewe sasa.

Scientist awe scientist, hao uliowasifia ni bureacracy tu na wala hawakutakiwa kupita SUA wamepoteza pesa za wabongo na ndio maana hawana Tija katika science ya kilimo/mifugo/ardhi bora wangepita USTAWI ingetosha. Tuzalishe scientists wafanye kazi kama scientist ili wabobee katika fani.

Masoud kipanya, recently posted a cartoon, depicting a SUA graduate working in bank with a line saying "Hii ndio Bongo, nimemaliza chuo kikuu cha kilimo cha sokoine lakini niko kaunta benki", a statement of the sort. Masoud, like many Tanzanians, are ignorant of the curriculum, even degree programs offered at SUA. The original BSc Agriculture of SUA offered in 1980s, had specialisations and final year students used to specialise in different fields including Agricultural Economics. People like Prof. Anna Tibaijuka graduated from SUA with BSc Agriculture with specialisation in economics and today she is leading UNHABITAT. Since the 1990s SUA has been a dgree of MSc. in Agricultural Economics. Recently, SUA started degree programs in Agricultural Economics and Agribusiness and an MBA with biase to agriculture. My dear Masoud agriculture is a sector, not farming. The degree of agriculture offered by SUA considers all components of agriculture, from engineering, economics, communication, processing etc.
Being a graduate of SUA does not mean that you are committed to a farm or the likes. Even more, people have natural talents. Masoud never attended a university offering a degree in "cartoonology", but he is doing fine with his toons. Likewise, Tracy chapman has a degree in Agriculture but chose the music career. One of the best music producers in Tanzania Hermes B, is graduate of SUA. Do you remember Prof Madundo Mtambo, a man who shocked Simba SC in the 1980s? A SUA graduate. Graduates of SUA have prospered in different fields (not just banking) including politics where you have people like Prof. Msolla, David Mathayo, Hawa Ghasia, Jumanne Maghembe etc.
The secret is, financial institutions that employ student from SUA are impressed by their perfomances, and thats not just CRDB. PRIDE Tanzania is proud os SUA graduates, so is FINCA and NMB. Afterall, all those people employed in Tanzanian banks are not graduates of BCom, or finance, or Banking. Most of them have degrees and they undergo inhouse training. The best ones prosper, like the SUA graduate you see behind the counter. Be warned that SUA graduates are doing fine in agriculture itself. A good example is Shambani graduates, a company formed and owned by young SUA graduates. I dont believe that Masoud's father-in-law has a degree in agriculture? I gues he own farmms in Mbeya...au hii ndio Bongo?
 
Kuna hiyo feeling miongoni mwa wa SUA kuwa Chuo chao kinatoa degrees zina-fit popote. Hiyo si kweli. Na kama ni kweli, hizo degree ni bomu.
Unaposoma degree matagemeo ni kwamba unakuja fanya kazi inayo-reflect jina la degree yako. Kwa mfano, huwezi kuniambia eti mtu kasoma food science anafanya kazi kama bank teller. Na mifano mingine mingi tu. Hawa wote walitakiwa wafanye kazi kwenye sectors zinazoendana na majina ya degrees zao. Kuwa bank teller ni kumalizana uwezo wa kufiria wa mtu. Bank teller anaweza fanya hata form six. Mifano ya Tibaijuka, Madundo au shambani graduates haiendani na mada, kwa kuwa head wa UN section, mcheza mpira au enterpreneur uhitaji shule maalumu. Kutoka UDSM au Mzumbe kuna wengi tu wa aina hii, wakiwemo Marais, makamu au Mawaziri.
 
Masoud kipanya, recently posted a cartoon, depicting a SUA graduate working in bank with a line saying "Hii ndio Bongo, nimemaliza chuo kikuu cha kilimo cha sokoine lakini niko kaunta benki", a statement of the sort. Masoud, like many Tanzanians, are ignorant of the curriculum, even degree programs offered at SUA. The original BSc Agriculture of SUA offered in 1980s, had specialisations and final year students used to specialise in different fields including Agricultural Economics. People like Prof. Anna Tibaijuka graduated from SUA with BSc Agriculture with specialisation in economics and today she is leading UNHABITAT. Since the 1990s SUA has been a dgree of MSc. in Agricultural Economics. Recently, SUA started degree programs in Agricultural Economics and Agribusiness and an MBA with biase to agriculture. My dear Masoud agriculture is a sector, not farming. The degree of agriculture offered by SUA considers all components of agriculture, from engineering, economics, communication, processing etc.
Being a graduate of SUA does not mean that you are committed to a farm or the likes. Even more, people have natural talents. Masoud never attended a university offering a degree in "cartoonology", but he is doing fine with his toons. Likewise, Tracy chapman has a degree in Agriculture but chose the music career. One of the best music producers in Tanzania Hermes B, is graduate of SUA. Do you remember Prof Madundo Mtambo, a man who shocked Simba SC in the 1980s? A SUA graduate. Graduates of SUA have prospered in different fields (not just banking) including politics where you have people like Prof. Msolla, David Mathayo, Hawa Ghasia, Jumanne Maghembe etc.
The secret is, financial institutions that employ student from SUA are impressed by their perfomances, and thats not just CRDB. PRIDE Tanzania is proud os SUA graduates, so is FINCA and NMB. Afterall, all those people employed in Tanzanian banks are not graduates of BCom, or finance, or Banking. Most of them have degrees and they undergo inhouse training. The best ones prosper, like the SUA graduate you see behind the counter. Be warned that SUA graduates are doing fine in agriculture itself. A good example is Shambani graduates, a company formed and owned by young SUA graduates. I dont believe that Masoud's father-in-law has a degree in agriculture? I gues he own farmms in Mbeya...au hii ndio Bongo?
Not only Shambani graduates (Milk processing enterprises), currently there is very big entreprise owned founded and owned by SUA graduates caleed SUGECO.
 
Kuna advantages nyingi kwa waajiri kwenye sekta ya banks kwani watu kutoka SUA wanajua kwamba soko la ajira wakifuata specializations zao hawawezi kuajiriwa kwa urahisi. SUA graduates wengi wamekuwa kimbilio kwa mabenki kama NMB, CRDB na NBC kwa sababu wako tayari kwenda mikoa iliyo pembezoni, na wakishaajiriwa huwa hawana tamaa ya kuhama hama kwani wanaona kuajiriwa huko benki ni kama wamependelewa ukizingatia wamesomea ufugaji wa nyuki wasiotoa asali! So this is not a surprise...
Kumbe vyuo vingine mnasoma na kuchagua maeneo ya kufanyia kazi! Sasa mnalalmika ninikama wenzetu wameamua kuwahudumia Watanzania wanaohitaji kuhudumiwa.
 
Na hawajui ni gani graduates wa SUA wanakimbiza kwenye kazi....kwani hao wanaoajiri hawaoni graduates wa professions husika hadi wachkue from SUA? They have the secret I think
Graduates professional wengi vilaza, tena wa IFM na MZUMBE ndo usiwaseme kabisaaa! Vilaza mwanzo mwisho. Mzumbe hadi Masters wanafanya kama Special Project na hakuna hata kufanya presentation ya findings.
 
Cha kujiuliza ni kwanini bank zinaajiri graduate toka SUA na sio toka CBE. IFM etc ambapo pia kuna graduate wengi tu ambao hawajaajiriwa. Bila shaka UBORA wa graduate wa SUA unawalazimisha waajiri kuwachukua wa na kuwaacha wenye fani pembeni. CBE wengi vilaza.
 
bongo hii connection ndo mpango hamkusikia jaji ndo anasoma sheria hata bado hajagraduate
 
Back
Top Bottom