Masoud kipanya asimulia jinsi alivyotimuliwa kazi cloudz fm

Nimeckia anaztangaza zipo s0k0n,m0ja ya maeneo ni dukan kwake,millenium TOWERZ
Wana JF,
Hatuna sababu ya kugombania fito wakati tunajenga nyumba moja.
Muandaaji wa kipindi, Salama alitaka ampe nafasi Masoud Kipanya ili aeleze ukweli juu ya kuachishwa kazi Clouds.
Pia msanii masoud apate muda muafaka wa kutujulisha kuwa DVD za upuuzi wa Masoud Kipanya kwa sasa zipo
tayari tusubiri kupata vipande vya keki 26.
Tunamwambia tupo tayari tunaisubiri hiyo DVD 7babu tunaelewa Masoud ni nani na kazi zake zinakubalika.
 
Masood azungumza ndani ya Mkasi mikasa, ila Salama jabir amebooa na maswali ya kitoto, eti Umeshawahi kuiba?, Unacheza kamari?.
Ama kweli uandishi wa habari lazima uwe na akili KP anamponda hapohapo bila yeye kujijua.
Mwandishi wa habari unapomhoji mtu mwenye akili zake timamu na kuliza maswali ambayo hayana kichwa wala miguu ni aibu tu!!, Afu kwani lazima waact saloon, mtu tayari anaupara tena unamnjoa, yani Bongo bado kabisa!
Watch the CLIP and comment your opinion on what happened to KP- Masood, na umahiri wa kazi kwa huyu dada Salama Jabiri mshauri nini cha kuboresha!
:A S-coffee:
Mkasi - S1E3 with Masoud Kipanya - YouTube

Masood: watu hawataki kutumia akili zao.

Robbinhood,
Asante kwa home work acha nifike home nitakuja na feedback, salama hana kipaji wala ujuzi wa anachokifanya. Ref: bongo star search
 
Last edited by a moderator:
mkuu Robbin thanks kwa link hii nzuri.

Ila kuhusu Salama nadhan umechukua kipande kidogo sana cha ubovu otherwise kipindi kipo powa kutokana na maudhui yake.

Dont expect serious questions!
 
AKIONGEA KWENYE KIPINDI KINACHOÖNESHWA NA EATV NA SALAMA JABIL KWENYE KIPINDI CHAKE CHA MKASI.MASOD ANASEMA LICHA YA KUFANYA KAZ KWA MIAKA 9 HUKU AKILAZMIKA KUAMKA MAPEMA ALFAJIRI BADALA YA KWENDA MSIKTIN ALIKWENDA KWENYE KIPINDI HUKU MASILAHI YAKIWA DUNI AKAJAFUKUZWA KAZI KWA SIKU MOJA TENA HUKU KOSA LIKIWA NI LA MAFUNDI MITAMBO.AKIELEZEA KWA MASIKTIKO ANASEMA ALIFUKUZWA KAZI KWA KOSA LISILO LAKE TENA KWA Siku moja!

Mh. Bado umenifanya niwe na hamu kujua sababu. Hapo umeniacha nikiwa naning'inia.
 
All praises (and much more so profits) due to Bi.tch. Made Nigga Killas, J. Kusaga, & Co. May Jesus Christ & Muhammad S.A.W have mercy on thy souls.
 
Nimesoma huo waraka, mbona kila kitu kipo wazi...kilichotokea hapo ni uwezo mdogo wa KP, kufanya kazi kama timu...na tatizo ni ujuaji uliopitiliza plus na sifa mnazompa ndio zinampoteza....sikatai ana kipaji lakini nakataa kuwa ndio zaidi ya wengine wooote.

Masoud na G Hando wote ni wajuaji "much know" lakni inavyoonekana G hando alitumia falsafa ya akili za kuambiwa jumlisha na za kwako......hizo sababu za kugomea kipindi ni dhaifu sana.

Alichofanya KP ni sawa na kuanza kulaumu na kususa kusukuma gari porini kwa kuwa tu aliwahi kuonya juu ya barabara wanayoenda kupita.......busara ni kusukuma gari kwanza, na tukishafika tunapokusudia unarudia kusema tena ulivyosema kabla ya safari....WAZEE ILE BARABARA HAIFAI.

Uwepo wa Messi au Ronaldo kwenye timu sio sababu ya wao kuwa over all incharge wa kuendesha timu nzima...bado kuna kocha na uongozi mwingine.....ndio maana Tevezi akizengua pamoja na umuhimu wake ndani ya timu anatupiwa virago.

.......yaani kwa kuwa tu baba ninaendesha VW BITO, basi ndio mtoto unagoma kupanda nikupeleke shule mpaka ninunue Prado.....lazima upate kichapo ndio usome ukanunue Prado yako..........SENZI KABISA.
 
Nimeipenda kweli mkuu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Bora tu alivyoondoka na kuendelea na fursa alizokamata kwani angefia pale.. Wakati mabosi wake wazamani wanasisitiza kukamata fursa.
 
Back
Top Bottom