Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

Kila la kheri kwake

Niliwahi kuwa na mpz dini ya masudi, akanitaka nibadiri dini Ili tuoane na yeye hayuko tayari kubadiri (nikasema sawa) kwa Sharti Moja ataniruhusu kuongeza mke daaah aligoma kabisa na uchumba ukafa(yaani nibadiri dini kisa mtu mmoja ) sina ujinga huo.
daahh!!mmechekaaa
 
Kwa Kwa Umri huo, Anawaolea Mabaharia...! Matumizi Kwake.....Kuridhishwa kwa Mabaharia..!
Ukweli mchungu inabidi aumeze tu..
 
Safi sana. Ataishi maisha marefu sana. Kuwa na Mke mmoja bila hata mchepuko ni kujitafutia stress tu na kukaribisha magonjwa yasiyoambukiza kama pressure, kisukari, moyo kuwa mkubwa n.k
ISHI MILELE MKUU,
KUTETEA UHAI WA MWANAUME NI UZALENDO MBELE ZA MUNGU
 
Mambo ya Waislam hayo na hiyo ni sunna ya Mtume (s.a.w) pia ni mafundisho ya Allah katika surat nisaa ndani ya kitabu cha Quran aya nimeisahau.

Wenzetu Waislam wanaanza kwakuambiwa waoe wanawake wanne au watatu au wawili na ukishindwa kuwafanyia hisani ndio uoe mwanamke mmoja.

Haki ya Mungu siku kanisa wakiruhusu ndoa za mitala nitaioa micheko yangu yote
 
Big mistake. Kwa umri alionao kipanya 50 wallah bed perfomance ipo low sana. Na ukute huyo mke ni under 35 jasho litamtoka. Atoe huduma kwa nyumba nne! Wallah lazima apewe tough na masela.
Umri ukifikia 40+ hamu ya mapenzi inaongezeka Mara dufu, labda km kunA tatizo mahali
 
Kasema hivii hutosheki na mmoja,una uhakika ukipewa 10 utatosheka?.. ndoa sio sex peke yake, ndoa ipo kuanzisha familia, kuanzisha familia na wake wanne utapata wapi nafasi ya kulea wanao vyema? ,,,ningekua nina akili za kusoma ningependa kujua watoto wa ndoa za mitala malezi yao yanakuwaje? Je hawaathiriki kisaikolojia na huu mfumo?
Wana athirika saba tu,ni vile hawana platform za kusemea
 
Mungu alimpatia Adamu msaidizi na si wasaidizi huku ni kuzini kwa kuitumia kichaka Cha dini.
 
Kasema hivii hutosheki na mmoja,una uhakika ukipewa 10 utatosheka?.. ndoa sio sex peke yake, ndoa ipo kuanzisha familia, kuanzisha familia na wake wanne utapata wapi nafasi ya kulea wanao vyema? ,,,ningekua nina akili za kusoma ningependa kujua watoto wa ndoa za mitala malezi yao yanakuwaje? Je hawaathiriki kisaikolojia na huu mfumo?
Kwa uzoefu wangu ukiwa na mke ukisha muacha Kwa kumpa talaka bas Una muacha yeye na watoto ana shugulika nao yeye mwanamke Kwa kuwalea
 
Hapo ndipo huwa nadharau uislamu! Yaani ukiona tamaa tu unaongeza kuoa au unatoa talaka uoe tena. Maisha yanaisha tamaa haziishi. Yaani dini na uchafu uchafu tuuuu
 
Back
Top Bottom