Masoud Kipanya aongeza mke wa nne

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,026
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.

Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita. Alizaliwa tareha 23 Juni 1972 jijini Dar es salaam.

Kipanya alianza kuchora katuni akiwa darasa la pili, na alianza kwa kuiga tu katuni za ndani na za nje kama ilivyo kawaida kwa yoyote anayeanza kufanya kitu, ila ‘professionally’ alianza rasmi mwaka 1988, huo ndio mwaka ambao katuni yake ya kwanza ilitoka katika gazeti la Heko.

Hatimaye kapata mke wa nne

20220122_124504.jpg


20220122_124501.jpg


20220122_124457.jpg


20220122_124454.jpg
 
Jumatatu. jumanna. Jumatano. Alhamis. Ijumaa.....ratiba nzuri kabisa hii. Sasa Kuna mtu ana mke mmoja tu lakini kutwa nzima kulalamika hapa JF.
akiwa na mke wa kwanza....

mke wa pili watatu na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa pili.... wa kwanza, watatu na wa nne wanakamuliwa

akienda kwa watatu: wa kwanza, wa pili na wanne wanakamuliwa

akienda kwa wa nne: wa kwanza, wa pili, na wa tatu watakamuliwa


halafu wakeze walivyo pisi sasa......


kuna watu watafaidi sambamba nae.......


NB

ni mtazamo wangu, povu kafulieni nguo
 
Back
Top Bottom