Masoud Kipanya anamuuliza Mohamed Said: Abdul Sykes ni nani? Tazama sehemu ya kwanza mpaka ya nne

Jembe...
Sijaliona swali lako.
Tafadhali uliza tena.
Sawa sheikh, mimi niko MUM kuna wakati ulikuja hapa lakini nilishindwa kukuona kutokana na majukumu na ratiba kuingiliana. Mwezi huu wa saba nitakuwa na safari ya Dar tafadhali naomba kukutana nawe ofisini kwako au nyumbani kwa mazungumzo mawili matatu.
 
Tangawizi,
Nani ananufaika na huo udini ndani ya serikali yetu kwa kuhodhi nafasi zote?
You want to be in the government using your religion instead of your competence. Kwani kazi za serikalini zinagawanywa kwa sababu ya dini? Shame. Mkimaliza kudai haki "fake" serikalini, si mtahamia kwenye sector binafsi na kulazimisha mambo hayo hayo? Hatuna mazuri ya kuongea mpaka tusakamane na dini zetu? Tuna hakika ndio kazi ambayo Mwenyezi Mungu ametupa? Shame!!
 
Sawa sheikh, mimi niko MUM kuna wakati ulikuja hapa lakini nilishindwa kukuona kutokana na majukumu na ratiba kuingiliana. Mwezi huu wa saba nitakuwa na safari ya Dar tafadhali naomba kukutana nawe ofisini kwako au nyumbani kwa mazungumzo mawili matatu.
Karibu sana ndugu yangu.
 
You want to be in the government using your religion instead of your competence. Kwani kazi za serikalini zinagawanywa kwa sababu ya dini? Shame. Mkimaliza kudai haki "fake" serikalini, si mtahamia kwenye sector binafsi na kulazimisha mambo hayo hayo? Hatuna mazuri ya kuongea mpaka tusakamane na dini zetu? Tuna hakika ndio kazi ambayo Mwenyezi Mungu ametupa? Shame!!
Tangawizi,
Hilo si nilosema mimi.

Wala hayo mengine uliyosema si niliyosema.

Naamini unaelewa nilisemalo na kwa wewe huusiki na tatizo hili mimi sina haja kujadiliana na wewe.

Serikali inalifahamu tatizo hili wao ndiyo wa kutoa majibu kwa Waislam.

Siyo wewe mnufaika.
 
Mkuu samahani ningependa kushauri ufanye maboresho kwenye website yako yaani iwe na muonekano kama zingine
Emma,

Hebu nifahamishe vizuri upungufu wa blog yangu.

Ukweli ni kuwa mimi si mtaalamu wa program hii kwani mambo haya nimekutananayo nishakuwa mzee.

Hebu nifahamishe inatakiwa iweje.
 
Yaani mkuu hapo Muonekano wa blog bado haupo vizuri ruhusa option nyingi juu ya blog.
Yaani ruhusa sehemu ya kutafutia, na mipangilio mingine
Mfano angalia kama ilivyo Global publishers
 
Back
Top Bottom