Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Angalia kibonzo cha Masoud Kipanya akisema hili la madini tulipewa lugha ya matumaini.
IMG_20171025_073335.jpg

Kwa nini watu wanabeza haya mazungumzo ya madini, ina maana tulidanganywa?
 
Hapo wachache watakaojua kuwa pale watu walikuwa wanasaka uungwaji mkono wa chama chao na wananchi.
Hakuna cha $300m wala nini labda hii ya kuunda kampuni mbadala wa ACACIA
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom