Masoud Kipanya achora katuni ambayo mwenyewe ameshindwa kuielewa


Joselela

Joselela

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
2,334
Likes
2,139
Points
280
Joselela

Joselela

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
2,334 2,139 280
Hahaha aisee mie pia sijaielewa!!
 
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
4,171
Likes
3,883
Points
280
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
4,171 3,883 280
mbona inaelewekayaani hawawezi kufanya maamuzi bila kamba inayoongozwa na mtu mwingine,yaani kifupi hawana uwezo wa kufanya lolote bila anayewa control kwa kutumia kamba kufanya hivyo
 
SHAMMA

SHAMMA

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Messages
27,038
Likes
76,855
Points
280
SHAMMA

SHAMMA

JF-Expert Member
Joined May 23, 2015
27,038 76,855 280
Ina uhusiano na mteuliwa mwenye makandokando, jina malizieni
 
SHAMMA

SHAMMA

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2015
Messages
27,038
Likes
76,855
Points
280
SHAMMA

SHAMMA

JF-Expert Member
Joined May 23, 2015
27,038 76,855 280
Picha ya mwisho anashangilia ushindi wa rafu zake
 
I

ilonga

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Messages
895
Likes
206
Points
60
I

ilonga

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2011
895 206 60
Yaani hao hawana maamuzi yao huru
 
Limbani

Limbani

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
1,440
Likes
101
Points
160
Limbani

Limbani

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
1,440 101 160
Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!

Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.
Kuna yule dada alikuwa na jina nimelisahau!! Anakatika kulingana na mvuta kamba anavyotaka...
 
king kan

king kan

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
1,358
Likes
881
Points
280
king kan

king kan

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
1,358 881 280
Hii katuni rahisi kuielewa. Angalia kuna wanasesere wangapi hapo na jinsia zao. Ukimaliza angalia uteuzi wa wakuu wa mikoa na jinsia zao.

Maana ya katuni nahisi ni kuwa wanasesere hawa wanaongozwa na kuwa shaped na mvuta kamba asiyepo hapo. They can't think or act, wanafuata orders pekee.
 
Luqman mohamedy

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Messages
718
Likes
816
Points
180
Luqman mohamedy

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2016
718 816 180
Makomando wanasushwa eneo la tukio
 
Villky_J

Villky_J

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2017
Messages
426
Likes
487
Points
80
Age
35
Villky_J

Villky_J

JF-Expert Member
Joined Mar 14, 2017
426 487 80
Anatuzecheza atakavyo halali maumivu tunayopata. ..hapa masud kakwepa lawama
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,215
Likes
6,999
Points
280
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,215 6,999 280
Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!

Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.

Joyce Wowowo wa 1990. Alivuma sana kwa Wahenga

download-3-jpeg.618212
 
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
4,171
Likes
3,883
Points
280
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
4,171 3,883 280
hakuna katuni masoud amewahi ichora asiielewe,ameandika kama carmouflage tuu
 
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Messages
7,931
Likes
5,770
Points
280
Muyobhyo

Muyobhyo

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2014
7,931 5,770 280
Ha ha ha, kanikumbusha kuna vi midoli tulikuwa tunaviita mama nabela!

Controller unashika kamba unakuwa unavuta kamba kulingana na unavyotaka mdoli ucheze.
niliwahi mkuta jamaa 1 pale tabora railway station akichezesha mziki wa bongo man, inde monie!
 

Forum statistics

Threads 1,213,501
Members 462,160
Posts 28,480,165