Masoud Kipana na kisa cha Faru John - marufuku kumtaja wala kumwandika

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,386
Hatajwi wala haandikwi!
kp09032017.jpg
 
Mambo huja na kupita tu kama upepo ndani ya tz hata la vyeti litapita tu.
 
Mambo huja na kupita tu kama upepo ndani ya tz hata la vyeti litapita tu.
agh wapi,akitoka tu ukimbizini litaanza upya,bado kuna kesi ya mbowe atatakiwa mahakamani na bunge linaanza in 3 weeks,bashite tunaye aiseee
 
mbona hata la kutolipwa stahk zao watumish nalo lisha poa kama maziwa ya mgando haf baadh wanaomba kaz kenya! magufuli anaifurahia h nch kwana wasomi nao akil zao kama za vila make wanafanya kaz kana kwamba mishahara inawatosha vile,ona suala la 15% washa jiziuka kama wanakatwa kwan kaz inaenda kwa unamsukuma mlev! chezea watanzania we2! hl swala asipolisemea lisu basi tena make ndo alobak kwan yuko sawa IS tena anapambana na serikal ya dikteta uchwara haf ana KO! MUNGU AKULINDE SANA NDG LISU MAKE H KAZ SIO YA KITOTO MAKE UNAHATARISHA UHAI WAKO KTK utawala huu!
 
Uki mwomba mungu kwa ufasaha na ukweli,kamwe hato kuacha wala kukuangusha.

lakini hawa akina bahatishe duh
 
Nimesoma Raia Mwema ya Jana wameandika tumepeleka sampuli ya vinasaba Africa ya kusini kutambua Kama zile Pembe ni za Faru John kweli na gharama ya uchunguzi huo ni 700M.

Mwisho wa Uchunguzi tutagundua tumenunua Sumaku ya elf 10 kutafuta Coin ya Tsh mia Mbili iliyopotea kwny Mazingira ya kutatanisha.

Ndugu Edward Ngoyai Lowassa aliwahi kumsema Jk kwa Mafumbo Bungeni kuwa Bora kukosea Maamuzi kuliko kutoamua kabisa, nadhani Siku hizi anaweza kuona ni bora kutoamua kuliko kufanya Maamuzi Kama haya!
 
Back
Top Bottom