Tetesi: Masomo ya arts kufaulu sana NECTA 2016

sonofdory

Member
Jul 4, 2016
78
38
Wakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo ya sanaa waongoza kwa kufaulu....!! Wanafunzi waliofanya mtihani huo wanatakiwa kuwa na subira tu.
 
Matokeo ni Siri acha ujinga. Acha uzushi hakuna wakutoa siri mpaka yatangazwe
 
Jipen moyo cku ukiona mkopo hauna ndo utaamini
Achen kuwanyanyapaa wanaosoma masomo ya art.
Hao wanasayans wenyew hapa tz sion wanachofanya hata kidogo!!
Mwisho wa siku wanakuja kugundua watu vitu ambao ata hawajasoma
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom