Masomo haya yangewekwa kuwa core subjects....

Upuuuzi mtupu ,acha kuweka ushenzi wako humu jf nenda huko fb yaani mijitu mingine uwezo mdogo wa kufikiri matokeo yake unaweka upuuzi humu jamvini
nashukuru Mungu kwa kunipa uwezo wa kuheshimu mawazo ya wenzangu na kuwaelewa pia......uwezo wangu mdogo ndo ulinleta huku jf ili niangalie post zako za maana....weka mawazo yako mheshimiwa JF Senior Expert Member....
 
nashukuru Mungu kwa kunipa uwezo wa kuheshimu mawazo ya wenzangu na kuwaelewa pia......uwezo wangu mdogo ndo ulinleta huku jf ili niangalie post zako za maana....weka mawazo yako mheshimiwa JF Senior Expert Member....

Dah, umemshauri yeye lakini aibu naona mimi.

Hapa ndipo pale ile concept ya kwamba (" Ikiwa unaoga mtoni then kichaa akachukua nguo zako.... Utamkimbiza??") Inakua applied.

All great thinkers in JF are members, But not all members in JF are great thinkers
 
maths na english sawa ila ongeza commerce na book keeping ili vijana waweze kujiajiri
 
Wadau wenzangu hebu tushauriane jambo...me nanona kwa upande wangu, masomo ya mathematics,english, kiswahili na history yangewekwa kama masomo ya lazima mpaka form six...au nyie mnaonaje?
mkuu ungeongezea na physical education!
 
mi naona physical education ndo ingefanyiwa hayo kwa sababu ya role inayo play!!!

Health related roles such as overweight and obesity prevention, foundation for sports development, build habit for lifelong participation in physical activities, base for safe participation in physical activities na nyingi kibaooooo!!!
 
hahahhahahah kijana upooo??? Embu niambie itakuaje mtu aliyesoma hgl akapangiwa baf je hatasoma maths?? Na kama hana idea ya maths itatokea nini??
kitakachotokea hapo mkuu ni majuto manake kama hesabu zinakushinda utakosa raha
 
Ni wazo zuri, ila jambo la msingi la kufanya ili elimu yetu iwe na 'meaning' ni lazima kuhakikisha kuwa wale wanaosomea ualimu ni 'CREAM' na sio failures ambao wanafanya ualimu kuwa 'kimbilio la wakosefu'. Baada ya hilo nadhani serikali ianze kutambua umuhimu wa mwalimu kwa kumjali kimaslahi na hapo waalimu watatulia na kufundisha kwa moyo wa dhati, then hata hizo hesabu zitaleta manufaa hata na masomo mengine yote!, na hakika hata wanafunzi watayapenda masomo. kwa mtazamo wangu, tukipeleka hesabu hadi six kwa hali ilivyo sasa ni kupoteza muda!
 
maths na english sawa ila ongeza commerce na book keeping ili vijana waweze kujiajiri

enterpreneurship ndo inayohitajika. Ingewekwa sheria kama umefeli english au/na hesabu hakuna kwenda chuo kikuu. Hata ukienda nje, ukirudi degree yako haitambuliwi.
 
la muhimu hapo ni mathematics tuuuuu..labda na english kidogo.
History ya kazi gani?
Kiswahili kinafahamika vizuri tuu..labda kama unataka kuwa gwiji la kiswahili huko abroad..ila wa tz kiswahili cha kawaida tunakifahamu....
kama hayo unayapenda nadhani kuna HKL...ila hawa watu hawapatani na Maths na majority yao wana F form four..so maths hawaiwezi kwa kiasi kikubwa...watu watakua hawafaulu form six arif.
 
Huwezi soma HKL ukapangiwa BAF hata siku moja....wanaweza pangiwa BAF,BCOM,BBA n watu wa ECA,EGM na kombi za science....na kama wapo ni janga...lazma watoke na gentleman degree....
Kimsingi hizo BAF,BCOM,BBA zingewafaa zaidi watu wa ECA bt kwa kua watu wa sciense ni wataala wa mathematics pia haiwapi shida sana kujifunza na kuya master. HKL usidanganywe ukasome BAF lazma utafeli vibaya na uta disco.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom