- Thread starter
- #21
thanks......mpiga msuli, kanuni za jF zinasema 'respect other members'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thanks......mpiga msuli, kanuni za jF zinasema 'respect other members'
nashukuru Mungu kwa kunipa uwezo wa kuheshimu mawazo ya wenzangu na kuwaelewa pia......uwezo wangu mdogo ndo ulinleta huku jf ili niangalie post zako za maana....weka mawazo yako mheshimiwa JF Senior Expert Member....Upuuuzi mtupu ,acha kuweka ushenzi wako humu jf nenda huko fb yaani mijitu mingine uwezo mdogo wa kufikiri matokeo yake unaweka upuuzi humu jamvini
nashukuru Mungu kwa kunipa uwezo wa kuheshimu mawazo ya wenzangu na kuwaelewa pia......uwezo wangu mdogo ndo ulinleta huku jf ili niangalie post zako za maana....weka mawazo yako mheshimiwa JF Senior Expert Member....
mi naona physical education ndo ingefanyiwa hayo kwa sababu ya role inayo play!!!kwa sababu zipi??
mkuu ungeongezea na physical education!Wadau wenzangu hebu tushauriane jambo...me nanona kwa upande wangu, masomo ya mathematics,english, kiswahili na history yangewekwa kama masomo ya lazima mpaka form six...au nyie mnaonaje?
mi naona physical education ndo ingefanyiwa hayo kwa sababu ya role inayo play!!!
wenye uwezo mdogo wa kufikiri huzikimbia hesabu!itakua ngumu
kitakachotokea hapo mkuu ni majuto manake kama hesabu zinakushinda utakosa rahahahahhahahah kijana upooo??? Embu niambie itakuaje mtu aliyesoma hgl akapangiwa baf je hatasoma maths?? Na kama hana idea ya maths itatokea nini??
maths na english sawa ila ongeza commerce na book keeping ili vijana waweze kujiajiri