Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Moral proportionism ni tofauti naSawa. Lkn mbona maelezo yako ya awali kuhusu uadilifu wa mtu yanaegemea kwenye proportionalism?
Umesema kuwa haiwezekani kupima uadilifu wa mtu kwa kuangalia tendo moja moja, bali maisha yake over a period of time.
Ndio maana nikakuomba ufanye moral analysis ya tendo moja la kuiba ili nione approach yako.
Katika waraka wa Humanae Vitae papa alitumia maneno "principle of totality". Lkn ni kitu kile kile.
Kwa ufupi nimekuelewa.
Mimi naikataa moral proportionalism, aka principle of totality.
Kanuni hii inahalalisha kila uovu unaoweza kufikirika hapa duniani.
Mfano, kwa mujibu wa principle of totality, ni afadhali mtu mmoja afe ili kuikoa kikundi cha watu kumi.
Madikteta wote wa dunia walitumia mbinu huu.
Moral proportionism ni tofauti na Principle of totality. Read carefully you will find the different.Sawa. Lkn mbona maelezo yako ya awali kuhusu uadilifu wa mtu yanaegemea kwenye proportionalism?
Umesema kuwa haiwezekani kupima uadilifu wa mtu kwa kuangalia tendo moja moja, bali maisha yake over a period of time.
Ndio maana nikakuomba ufanye moral analysis ya tendo moja la kuiba ili nione approach yako.
Katika waraka wa Humanae Vitae papa alitumia maneno "principle of totality". Lkn ni kitu kile kile.
Kwa ufupi nimekuelewa.
Mimi naikataa moral proportionalism, aka principle of totality.
Kanuni hii inahalalisha kila uovu unaoweza kufikirika hapa duniani.
Mfano, kwa mujibu wa principle of totality, ni afadhali mtu mmoja afe ili kuikoa kikundi cha watu kumi.
Madikteta wote wa dunia walitumia mbinu huu.
Kinachotazamwa hapo ni tendo au jambo lenyewe should purely be moral good.
Zaidi ni kuwa hicho ambacho, tuseme kwa mfano, kinauawa, ili kuokoa vingine au wengine lazima kithibitike wazi kuwa kuondolewa kwake kutafanya vilivyobaki vingine kuwa bora zaidi. Destruction will not interfere natural laws.
Kuhusu kwa mfano, kuua mtu mmoja ili kuokoa watu wengine. Hili ni jambo zito hivyo linataka uthibitisho wa wazi wa maadili.
Lazima kufahamu kwa hakika huyo anayetakiwa kuuawa anaharibu maadili kwa kiasi.
Kuwepo kwake kunaleta kasoro gani kimaadili?
Tendo la kumuua huyo mtu ni la kimaadili?
Je, kuuawa kwake hakutaleta kasoro kimaadili?
Akiuawa kasoro ya kimaadili itakuwa imeondoka?
Ni lazima auwawe kama njia pekee ya kuondoa kasoro ya kimaadili?