Masoko ya madini yaleta maajabu kwenye mapato

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
5,687
15,108
Bilioni 66.5 zapatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini

Na Greyson Mwase, Dodoma

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya amesema kuwa, tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini mapema Machi mwaka jana jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 66.5 zimepatikana na kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi.

Profesa Manya ameyasema hayo leo tarehe 11 Machi, 2020 kupitia mahojiano maalum jijini Dodoma na kueleza kuwa tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi Januari, 2020 usimamizi wa masoko ya madini nchini umeendelea kuimarika ambapo, katika kipindi husika kilogramu 9,237.34 za dhahabu; karati 12,973.14 za madini ya almasi; kilogramu 20,099.17 za madini ya bati; na kilogramu 514,683.28 za madini ya vito mbalimbali ziliuzwa kupitia masoko hayo na kuipatia Serikali jumla ya shilingi bilioni 66.57.

Akielezea mfano wa masoko yaliyochangia kwa kiasi kikubwa kwenye ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali na kuipaisha Sekta ya Madini, Profesa Manya alielezea Soko Kuu la Dhahabu Geita ambapo alisema kuwa, kabla ya kuanzishwa kwa soko hilo, ukusanyaji wa mapato ulikuwa wastani wa Shilingi 599,046,378.47 yaliyotokana na wastani wa mauzo ya Kilogramu 101.97 kwa mwezi kwa takwimu za kipindi cha miezi mitano kabla ya kuanzishwa kwa soko.

Alisema kuwa, baada ya kuanzisha soko, makusanyo yaliongezeka hadi kufikia wastani wa shilingi bilioni 2.39 kwa mwezi yaliyotokana na wastani wa mauzo ya Kilogramu 360.94 zilizouzwa katika kipindi cha miezi 11 tangu soko hilo kuanzishwa Machi, 2019 hadi Januari, 2020 na kuongeza kuwa ongezeko hilo lilitokana na uwazi katika biashara ya madini ya dhahabu kwa kuwepo kwa soko hilo.

Aliongeza kuwa, kwa kipindi cha mwezi Oktoba, 2019 pekee katika Soko Kuu la Dhahabu Geita, Serikali ilifanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 3.6 kutokana na mauzo ya kilogramu 537.6 zilizouzwa.

Akitolea mfano wa soko jingine la madini la Chunya lililopo Mkoani Mbeya, Profesa Manya alifafanua kuwa kabla ya kuanzishwa kwa soko hilo, kiasi cha wastani wa Shilingi 177,965,811.06 kilichotokana na mauzo ya dhahabu yenye uzito wa wastani wa Kilogramu 29.67 kilikuwa kikipatikana kwa mwezi kwa takwimu za kipindi cha miezi minne (4) kabla ya kuanzishwa kwa soko.

Aliendelea kusema kuwa, mara baada ya kuanzishwa kwa Soko la Madini la Chunya mapema Mei, 2019 ndani ya kipindi cha miezi tisa Serikali ilikusanya kiasi cha wastani wa Shilingi 961,009,348.85 kilichotokana na mauzo ya dhahabu kwa wastani wa Kilogramu 176.24 kwa mwezi.

Awali akielezea uanzishwaji wa masoko ya madini 28 na vituo vya ununuzi wa madini 28 nchini Profesa Manya alisema kuwa kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini kulitokana na changamoto kubwa iliyokuwa inaikabili Sekta ya Madini kwa kipindi kirefu, hasa ya utoroshaji na biashara haramu ya madini.

Akielezea manufaa yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa masoko na vituo vya ununuzi wa madini nchini Profesa Manya alieleza kuwa ni pamoja na kuwasaidia wachimbaji wadogo kupata huduma ya masoko na upatikanaji wa bei stahiki za madini yanayouzwa na wachimbaji na wafanyabiashara wadogo wa madini.

Alieleza mafanikio mengine kuwa ni pamoja na uwazi katika biashara ya madini, kuimarika kwa ufanisi katika ukusanyaji wa maduhuli na kuondoa tatizo la utoroshaji na biashara haramu ya madini na hivyo kusaidia upatikanaji wa mapato stahiki ya Serikali kupitia tozo za mrabaha (6%) na ada ya ukaguzi (1%) za mauzo ya madini kwenye masoko.

Mafanikio mengine ni pamoja na upatikanaji wa takwimu sahihi za uzalishaji na mauzo ya madini yanayozalishwa na kuuzwa na wachimbaji pamoja na wafanyabiashara wadogo wa madini nchini kupitia masoko.

=======

MAONI YANGU:

Tundu LisSu na vibaraka wako unaojipendekeza kwao hadi umewaahidi ukiwa Rais wa Tanzania utaruhusu ushoga! Waambie ubunifu wa Rais Magufuli wa kutaka nchi iwe na masoko ya madini pamoja na kufumua na kubadili sheria zoto za madini sasa umeleta kufuru ya mapato nchini.

Hata mwaka bado haujaisha tayari masoko ya madini yameshaingiza jumla ya zaidi ya shilingi billion 66.

Mzee wa tutashitakiwa Miga upo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Etwege,
Zamani kwenye 2014 tulikuwa tunakusanya Tsh ngapi? Unavyoripoti ni kana kwamba kwenye madini hatukuwa tunapata chochote. Tupe na figures za zamani tulinganishe?
 
Billion 66 ni pesa ndogo sana. Hiyo ilitkiwa iwe faida ya kampuni moja, kwenye kapu la nchi ni kidogo mno.
Nchi iliyofanikiwa kwenye madini toka mwanzo ni Botswana na South Africa.
Starting for wrong reason influence quiting for wrong reason

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kelele nyingiii...watu bado wanapiga pesa balaa..nyie mmekaa kutwa kununua upinzani! Kalaghabaho
 
Billion 66 ni vituo vingapi vya afya?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vituo vya afya vingi sana, kwa sababu kama sikosei, kituo kimoja cha afya ni million 50, Ila ukweli ni kuwa ukiangalia katika uhalisia, uwingi wa madini tuliyonayo bado havijawa katika uwiano mzuri na mapato tunayopta kutoka kwenye madini hayo. Hata hivyo billion 66 ni nyingi sana ukilinganisha na hali ilivyokuwa huko nyuma. Tunatakiwa tuwapongeze sana Tume ya Madini na Wizara kwa ujumla, lakini ukweli ni kuwa inabdi tusiridhike sana na kipato hicho hivyo tuwatie moyo wakaze kamba zaidi, mpaka wafilie hadi kwenye trillions! Mimi nina imani kuwa lengo hilo litafikiwa kabla ya JPM kuondoka 2025
 
Bilioni 66.5 zapatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini
Na Greyson Mwase, Dodoma
Hawa watu wasiwe wanatupa takwimu za kisiasa.

Hizo Bilioni 66.5 ni fedha za mauzo ya madini au mapato kwa serikali? Maana madini ya kiasi hicho yanaweza kuwa yameuzwa, lakini haina maana kiasi hicho ndicho kilichoingia serikalini.

Hata haya makampuni ya nje, yanauza madini ya ma-trilioni, lakini mapato ya serikali toka hayo mapato ni kiduchu sana thanks to Mkapa na kukumbatia wawekezaji wa madini toka nje kwa kukubali 5% ya serikali
 
Kwa hili Magufuli amejitahidi kwa kweli. Watu wanasema eti bil66 ni ndigo. Kweli ni ndogo ila wakumbuke kuwa hapo mwanzo zote hizo zilikua zinaishia mikononi mwa watu. Hasa wa nchi jirani yetu. Ni mwanzo mzuri ila safari bado kabisa. Inabidi waanze kuwawekea Target. inabidi mwaka ujao wafike hata billioni 100.
 
Bilioni 66.5 zapatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini

Na Greyson Mwase, Dodoma

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya amesema kuwa, tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini mapema Machi mwaka jana jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 66.5 zimepatikana na kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi.

Profesa Manya ameyasema hayo leo tarehe 11 Machi, 2020 kupitia mahojiano maalum jijini Dodoma na kueleza kuwa tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi Januari, 2020 usimamizi wa masoko ya madini nchini umeendelea kuimarika ambapo, katika kipindi husika kilogramu 9,237.34 za dhahabu; karati 12,973.14 za madini ya almasi; kilogramu 20,099.17 za madini ya bati; na kilogramu 514,683.28 za madini ya vito mbalimbali ziliuzwa kupitia masoko hayo na kuipatia Serikali jumla ya shilingi bilioni 66.57.

Akielezea mfano wa masoko yaliyochangia kwa kiasi kikubwa kwenye ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali na kuipaisha Sekta ya Madini, Profesa Manya alielezea Soko Kuu la Dhahabu Geita ambapo alisema kuwa, kabla ya kuanzishwa kwa soko hilo, ukusanyaji wa mapato ulikuwa wastani wa Shilingi 599,046,378.47 yaliyotokana na wastani wa mauzo ya Kilogramu 101.97 kwa mwezi kwa takwimu za kipindi cha miezi mitano kabla ya kuanzishwa kwa soko.

Alisema kuwa, baada ya kuanzisha soko, makusanyo yaliongezeka hadi kufikia wastani wa shilingi bilioni 2.39 kwa mwezi yaliyotokana na wastani wa mauzo ya Kilogramu 360.94 zilizouzwa katika kipindi cha miezi 11 tangu soko hilo kuanzishwa Machi, 2019 hadi Januari, 2020 na kuongeza kuwa ongezeko hilo lilitokana na uwazi katika biashara ya madini ya dhahabu kwa kuwepo kwa soko hilo.

Aliongeza kuwa, kwa kipindi cha mwezi Oktoba, 2019 pekee katika Soko Kuu la Dhahabu Geita, Serikali ilifanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 3.6 kutokana na mauzo ya kilogramu 537.6 zilizouzwa.

Akitolea mfano wa soko jingine la madini la Chunya lililopo Mkoani Mbeya, Profesa Manya alifafanua kuwa kabla ya kuanzishwa kwa soko hilo, kiasi cha wastani wa Shilingi 177,965,811.06 kilichotokana na mauzo ya dhahabu yenye uzito wa wastani wa Kilogramu 29.67 kilikuwa kikipatikana kwa mwezi kwa takwimu za kipindi cha miezi minne (4) kabla ya kuanzishwa kwa soko.

Aliendelea kusema kuwa, mara baada ya kuanzishwa kwa Soko la Madini la Chunya mapema Mei, 2019 ndani ya kipindi cha miezi tisa Serikali ilikusanya kiasi cha wastani wa Shilingi 961,009,348.85 kilichotokana na mauzo ya dhahabu kwa wastani wa Kilogramu 176.24 kwa mwezi.

Awali akielezea uanzishwaji wa masoko ya madini 28 na vituo vya ununuzi wa madini 28 nchini Profesa Manya alisema kuwa kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini kulitokana na changamoto kubwa iliyokuwa inaikabili Sekta ya Madini kwa kipindi kirefu, hasa ya utoroshaji na biashara haramu ya madini.

Akielezea manufaa yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa masoko na vituo vya ununuzi wa madini nchini Profesa Manya alieleza kuwa ni pamoja na kuwasaidia wachimbaji wadogo kupata huduma ya masoko na upatikanaji wa bei stahiki za madini yanayouzwa na wachimbaji na wafanyabiashara wadogo wa madini.

Alieleza mafanikio mengine kuwa ni pamoja na uwazi katika biashara ya madini, kuimarika kwa ufanisi katika ukusanyaji wa maduhuli na kuondoa tatizo la utoroshaji na biashara haramu ya madini na hivyo kusaidia upatikanaji wa mapato stahiki ya Serikali kupitia tozo za mrabaha (6%) na ada ya ukaguzi (1%) za mauzo ya madini kwenye masoko.

Mafanikio mengine ni pamoja na upatikanaji wa takwimu sahihi za uzalishaji na mauzo ya madini yanayozalishwa na kuuzwa na wachimbaji pamoja na wafanyabiashara wadogo wa madini nchini kupitia masoko.

=======

MAONI YANGU:

Tundu LisSu na vibaraka wako unaojipendekeza kwao hadi umewaahidi ukiwa Rais wa Tanzania utaruhusu ushoga! Waambie ubunifu wa Rais Magufuli wa kutaka nchi iwe na masoko ya madini pamoja na kufumua na kubadili sheria zoto za madini sasa umeleta kufuru ya mapato nchini.

Hata mwaka bado haujaisha tayari masoko ya madini yameshaingiza jumla ya zaidi ya shilingi billion 66.

Mzee wa tutashitakiwa Miga upo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hizo ni tatrakimu tu, je wanawezatueleza zimetumikaje?
 
Hayo mapato yamemfaidisha nani? Mbona huko yanakopatikana hayo madini kuna hali mbaya sana? Wananchi masikini na miundombinu mibovu?
 
Amakweli Tanzania bado kuna wajinga wengi sana. Ati mtu anasema hizo pesa zimefaidisha nani.........hayo madaraja yanoyojengwa, yanajjengwa na mate au? shule wanazosoma wanao bure , nani analipia. vituo vya afya nchi nzima , vimejengwa na hewa?

Watu muwe na uzalendo na pia kushukuru, sio kila kitu kulalamika tu. Tanzania ni nchi ya sita AFRICA kwa uchumi mzuri lakini mvyolalamita kama vile sisi ndo tumeshika mkia katika nchi 52. Hata fursa zilizombele yetu hatuzioni kwa kulalamika. Hata wakenya hapo jirani wanakuja kuchangamkia frusa, wanatushinda.

watu hambebeki, kazi kulalamika tu. Na MCHADEMA wenu hopeless.
 
Kama leo bado unawaza vituo vya afya baaka ya miaka 59 ya uhuru hauko serious na maisha. Jengo bila facilities ni kazi bure bro. Nchi yetu bado maskini sana hizo billion 66 ni tone katika sufuria kubwa.
Ili tuondowe umaskini katika nchi yetu angalia tuwe na uwezo wa kukusanya trion 40 kwa mwaka angalau tunaweza sema tunapiga hatua.
Billion 66 ni vituo vingapi vya afya?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na vituo vya kisiasa, kituo cha afya kilicho kamilika angalau unahitaji billion 6 na kuendelea mkuu
Ni vituo vya afya vingi sana, kwa sababu kama sikosei, kituo kimoja cha afya ni million 50, Ila ukweli ni kuwa ukiangalia katika uhalisia, uwingi wa madini tuliyonayo bado havijawa katika uwiano mzuri na mapato tunayopta kutoka kwenye madini hayo. Hata hivyo billion 66 ni nyingi sana ukilinganisha na hali ilivyokuwa huko nyuma. Tunatakiwa tuwapongeze sana Tume ya Madini na Wizara kwa ujumla, lakini ukweli ni kuwa inabdi tusiridhike sana na kipato hicho hivyo tuwatie moyo wakaze kamba zaidi, mpaka wafilie hadi kwenye trillions! Mimi nina imani kuwa lengo hilo litafikiwa kabla ya JPM kuondoka 2025

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Billion 66 ni pesa ndogo sana. Hiyo ilitkiwa iwe faida ya kampuni moja, kwenye kapu la nchi ni kidogo mno.
Nchi iliyofanikiwa kwenye madini toka mwanzo ni Botswana na South Africa.
Starting for wrong reason influence quiting for wrong reason

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama billion 66 unasema ni kidogo vipi kuhusu hiyo milioni mia 5 iliyokuwa inakusanywa mwanzo?
 
Achana na vituo vya kisiasa, kituo cha afya kilicho kamilika angalau unahitaji billion 6 na kuendelea mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani hapa tunaongelea Zahanati, wewe unamaanisha Hospitali? Kama ni Hospitali uko sahihi, ila kama ni Zahanati, zipo nyingi tu sasa hivi zimetapakaa, waulize wananchi walioko kwenye maeneo hayo kuhusu huduma zake kama una wasiwasi nazo! Zaidi ni kuwa maana ya Kituo cha Afya ni Zahanati, na si Hospitali!
 
Bilioni 66.5 zapatikana tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini

Na Greyson Mwase, Dodoma

KATIBU Mtendaji wa Tume ya Madini, Profesa Shukrani Manya amesema kuwa, tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini mapema Machi mwaka jana jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 66.5 zimepatikana na kuongeza mchango wa Sekta ya Madini kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi.

Profesa Manya ameyasema hayo leo tarehe 11 Machi, 2020 kupitia mahojiano maalum jijini Dodoma na kueleza kuwa tangu kuanzishwa kwa masoko ya madini mwezi Machi, 2019 hadi kufikia mwezi Januari, 2020 usimamizi wa masoko ya madini nchini umeendelea kuimarika ambapo, katika kipindi husika kilogramu 9,237.34 za dhahabu; karati 12,973.14 za madini ya almasi; kilogramu 20,099.17 za madini ya bati; na kilogramu 514,683.28 za madini ya vito mbalimbali ziliuzwa kupitia masoko hayo na kuipatia Serikali jumla ya shilingi bilioni 66.57.

Akielezea mfano wa masoko yaliyochangia kwa kiasi kikubwa kwenye ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali na kuipaisha Sekta ya Madini, Profesa Manya alielezea Soko Kuu la Dhahabu Geita ambapo alisema kuwa, kabla ya kuanzishwa kwa soko hilo, ukusanyaji wa mapato ulikuwa wastani wa Shilingi 599,046,378.47 yaliyotokana na wastani wa mauzo ya Kilogramu 101.97 kwa mwezi kwa takwimu za kipindi cha miezi mitano kabla ya kuanzishwa kwa soko.

Alisema kuwa, baada ya kuanzisha soko, makusanyo yaliongezeka hadi kufikia wastani wa shilingi bilioni 2.39 kwa mwezi yaliyotokana na wastani wa mauzo ya Kilogramu 360.94 zilizouzwa katika kipindi cha miezi 11 tangu soko hilo kuanzishwa Machi, 2019 hadi Januari, 2020 na kuongeza kuwa ongezeko hilo lilitokana na uwazi katika biashara ya madini ya dhahabu kwa kuwepo kwa soko hilo.

Aliongeza kuwa, kwa kipindi cha mwezi Oktoba, 2019 pekee katika Soko Kuu la Dhahabu Geita, Serikali ilifanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi bilioni 3.6 kutokana na mauzo ya kilogramu 537.6 zilizouzwa.

Akitolea mfano wa soko jingine la madini la Chunya lililopo Mkoani Mbeya, Profesa Manya alifafanua kuwa kabla ya kuanzishwa kwa soko hilo, kiasi cha wastani wa Shilingi 177,965,811.06 kilichotokana na mauzo ya dhahabu yenye uzito wa wastani wa Kilogramu 29.67 kilikuwa kikipatikana kwa mwezi kwa takwimu za kipindi cha miezi minne (4) kabla ya kuanzishwa kwa soko.

Aliendelea kusema kuwa, mara baada ya kuanzishwa kwa Soko la Madini la Chunya mapema Mei, 2019 ndani ya kipindi cha miezi tisa Serikali ilikusanya kiasi cha wastani wa Shilingi 961,009,348.85 kilichotokana na mauzo ya dhahabu kwa wastani wa Kilogramu 176.24 kwa mwezi.

Awali akielezea uanzishwaji wa masoko ya madini 28 na vituo vya ununuzi wa madini 28 nchini Profesa Manya alisema kuwa kuanzishwa kwa masoko ya madini nchini kulitokana na changamoto kubwa iliyokuwa inaikabili Sekta ya Madini kwa kipindi kirefu, hasa ya utoroshaji na biashara haramu ya madini.

Akielezea manufaa yaliyopatikana tangu kuanzishwa kwa masoko na vituo vya ununuzi wa madini nchini Profesa Manya alieleza kuwa ni pamoja na kuwasaidia wachimbaji wadogo kupata huduma ya masoko na upatikanaji wa bei stahiki za madini yanayouzwa na wachimbaji na wafanyabiashara wadogo wa madini.

Alieleza mafanikio mengine kuwa ni pamoja na uwazi katika biashara ya madini, kuimarika kwa ufanisi katika ukusanyaji wa maduhuli na kuondoa tatizo la utoroshaji na biashara haramu ya madini na hivyo kusaidia upatikanaji wa mapato stahiki ya Serikali kupitia tozo za mrabaha (6%) na ada ya ukaguzi (1%) za mauzo ya madini kwenye masoko.

Mafanikio mengine ni pamoja na upatikanaji wa takwimu sahihi za uzalishaji na mauzo ya madini yanayozalishwa na kuuzwa na wachimbaji pamoja na wafanyabiashara wadogo wa madini nchini kupitia masoko.

=======

MAONI YANGU:

Tundu LisSu na vibaraka wako unaojipendekeza kwao hadi umewaahidi ukiwa Rais wa Tanzania utaruhusu ushoga! Waambie ubunifu wa Rais Magufuli wa kutaka nchi iwe na masoko ya madini pamoja na kufumua na kubadili sheria zoto za madini sasa umeleta kufuru ya mapato nchini.

Hata mwaka bado haujaisha tayari masoko ya madini yameshaingiza jumla ya zaidi ya shilingi billion 66.

Mzee wa tutashitakiwa Miga upo?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa mbona husemi hapo zamani mlikuwa mnakusanya ngapi toka Acacia tu ili tulinganishe manake 66 tu haitoshi. Manake data zenu wenyewe mnaleta nusu na kulazimisha wa wasifie. TL anayo haki ya kusema na bado tunaamini mngekuwa na akili mngekusanya zaidi ya hizo. Hapa mnapika data kumpendeza jiwe na mnamjua yeye anakalili number tu kuzidadavua hawezi kama zile za noah na tipper za dhahabu.
 
Back
Top Bottom