Masoko:Vyombo vya habari vya Umma VS Binafsi

Mgoyangi

Senior Member
Feb 6, 2008
184
9
Zitto Kabwe karudia wito wake kuwa Vyombo vya habari vya umma/Serikali vinagharamiwa na serikali kwa asilimia 100, visigombee matangazo ya bishara na vile vya binafsi.

Lakini pia ametoa hoja kuwa Wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni isiwe ipo kwa ajili ya TBC na TSN pekee, bali iwepo kusaidia hata vyombo vya habari binafasi.

Katika hili nakumbuka Waziri wa Habari aliwahi kusema hakuna serikali isiyokuwa na chombo chake, na akasema serikali hauitajitoa kuendesha vyombo vya habari. Aakafikia hata kusema CNN ni mali ya Serikali ya Marekani. Hii ilikuwa ni baada ya hoja nyingi kutolewa kuwa Serikali iachie vyombo vyake vijiendeshe ambayo kwa jibu la waziri kwa wakati huo linaonesha kuwa hakulielewa swali. Pengine s afari hii atakuwa amekolea akili ngoja tusubiri majibu yake.
 
tusubiri waosha vinywa waje waseme zitto anapigia debe gazeti lake
 
Back
Top Bottom