[MASOKO] Natafuta mwenye kununua wine(divai) bei elfu kumi kwa lita. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

[MASOKO] Natafuta mwenye kununua wine(divai) bei elfu kumi kwa lita.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kamaka, May 4, 2012.

 1. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenye nia aniPM.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mkuu.....wanywaji wa mvinyo tupo wengi sana humu....ongezea basi nyama kwenye uzi wako....ni mwembamba sana....
   
 3. bakuza

  bakuza JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Maelezo hayajitoshelezi kabisa hebu rudi unyumbulishe zaidi bana.
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu

  ingredients ni nini ... Grapes, Banana, Rosella or ?

  alcohol % ?

  sweet or semi-sweet ... dry?

  red or white?
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  be serious, location? mimi ni mtumiaji sugu wa local wines na huwa napenda kupata kitu kutoka kwa watengenezaji tofauti tofauti.. mengine kama LAT aliyouliza. Nipo serious utakapojibu hayo maswali, achana na mambo ya pm
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Mkuu Narubongo

  you are right, hii ni bidhaa adimu sana tena pale inapotengenezwa localy .... lushoto kuna mission wanatengeneza wine nzuri sana ya zabibu ... huwa watu wanagombania kutokea Moshi na Arusha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  parokia zote za jimbo la dodoma walikuwa wanatengeneza wine nzuri sana kwakutumia choya na zabibu under label "Bihawana wine" ilikuwa ni made of pure grapes. Dodoma bado kuna watu wanasindika mmoja mmoja majumbani, quality ni nzuri sana iwapo utaipata dodoma kwenyewe lakini hizi za dar viwango haviridhishi labda upate mtu aliyeisafirisha kutoka dodoma. Huwa nabahatisha kuzipata pale mnazi mmoja kwenye maonesho ya biashara ya akina mama kutoka dodoma, tabora (quality yao huwa ni nzuri sana).
  Kuna moja ya asili nililetewa kutoka dodoma 2010 nilipiga glass 2 duu.. nilipoteza fahamu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. L

  LAT JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  mkuu Narubongo.... nasikia processing ya wine ni rahisi sana ...unahitaji mitungi ya miti na vitu vichache .... nadhani wananchi wa maeneo husika wangeweza kupata elimu ya usindikizaji locally ingesaidia sana pia upatikanaji na kuongeza kipato ...

  wine ni nzuri kwa afya kwani huongeza appetite ya kula .... husaidia kwenye digestion .... ina-regulate blood veins and capillaries (mishipa ya damu) ...inaongeza joto mwilini ....with more than 8 energy calories and vitamins

  kwavile mleta mada amekimbia ... basi nitakutafuta ili niweze kupata mvinyo original kutoka huko
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  kweli kabisa processing ni rahisi sana, nilikuwa naona masista wakifanya ile fermentation.. walikuwa wanachuma zabibu na kuzimwaga direct kwenye mapipa ya lita 50 then wanaziacha zichache kwa wiki kadhaa.. inavyozidi kukaa muda mrefu ndio inavyozidi kuwa kali. Purification sikuwahi kuiona lakini nayo nasikia haina tabu.

  wananchi wana elimu ya usindikaji lakini taizo hawana vision c'se wengi ni wamama wa nyumbani i.e wanasindika ili kupata hela ya kununua chakula na ada ya watoto tu. Tatizo jingine hawana access ya masoko yaliyo nje ya maeneo yao (dodoma, tabora), kuna ushauri nilimpa FirstLady1 jinsi ya kufanya hii biashara.

  LAT changamkia hii kitu you can do it in professional way cha kufanya wewe ni kuingia mkataba na hawa wasindikaji wa mikoani au uwe mnunuzi mkubwa then uuze products dar au popote, halafu unaweza ukawapa specifications za alcohol %.
  sawa.. dealers wenyewe ndio hawa unaowaona
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. L

  LAT JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  very good idea Narubongo .... nadhani ukinunua kwa watu ttofauti utapata quality tofauti tofauti .... labda ni kuwakusanya wasindikaji wa wine huko maeneo husika na kuwapa specs ili upata kitu similar .... halafu unafanya packing mwenyewe na kuifanyia utundu mwingine mdogo mdogo .... siku hizi naona kwenye bar kuna vichupa vidogo vidogo vya wine vyenye ujazo wa 150mls kama sikosei ... nadhani hizi ni fast moving na watu wengi wanaweza ku afford kununua kuliko lile chupa kubwa la 750mls

  mkuu ... nikiingia kwenye hii biasshara nitaifilisi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #11
  May 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  something is ticking in my shaky mind... uzi mzuri huu!!!
   
 12. Mkeshahoi

  Mkeshahoi JF-Expert Member

  #12
  May 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 2,494
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  something is ticking in my tired mind... uzi mzuri huu!!!kaka LAT...kuna umunhimu wa kukaa kulekule kwa juzi tujadili hii...
   
 13. L

  LAT JF-Expert Member

  #13
  May 6, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Mkeshahoi ... nimekusoma

  this is an opportunity ... also one of the best business idea

  yes kule kwetu ni muhimu kuongelea mambo haya ili atakayekopeshwa anapewa na business idea ya kufanya biashara kabisa ... hii itasaidia kuwa na money back guarantee

  tunahitaji database ya business idea katika jukwaa la ujasiriamali .... ili mtu akiingia humu ananyonya idea bila kuanzisha thread ....

  nadhani mods wanaweza kutengeneza spreadsheet itakayoingiza business ideas nzuri na zinazokubalika .... and this is just my opinion
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...