Maslai madogo ya walimu ndiyo chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maslai madogo ya walimu ndiyo chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by yongo, Aug 1, 2012.

 1. y

  yongo Member

  #1
  Aug 1, 2012
  Joined: Sep 16, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napata shida sana kutafuta chanzo cha kushuka kwa ubora wa elimu nchini hususani pale ambapo unakuta kuna wanafunzi wanahitimu darasa la saba bila kujua kusoma wala kuandika. kwa misingi hiyo je kulikuwa na migomo baridi toka huko nyuma inayosababisha kushuka kwa kiwango cha elimu au tatizo ni hiki kizazi cha dot.com
   
 2. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,859
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  Ndio, na baada ya majibu ya dhaifu leo, itakuwa hivi 1+3=13, na 87-7=8, hadi mtakoma na CCM yenu. Mlichagua kiushabiki, sasa mtatulia.
   
Loading...