Maskini yeye........! Maskini mimi..........! Maskini sis........Mh!

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Wakuu wa janvi nawasalim wote, jamani me nimeshawishika kuandika hii kitu manake ni personal experience. Hivi ni kweli mapenzi ni umpendae nae anakupenda au umpendae humpenda mtu mwingine na wewe kumpenda mtu mwingine tofauti na yule anekupenda tena kwa kuonesha ishara zote za upendo wa dhat??

Me binafsi naona ni kama umpendae anakua hana habari na wewe halaf usiempenda ndo anakupenda ajab.Ni kwasabab imenitoke mimi mwenyew. Nishampenda dada mmoja ktk hii dunia na had leo navyoandika h thread bado nampenda mno. Ni toka 2007 had sasa, nishamweleza kwa namna zote kua nia yangu ni pete na awe mkw wa ndoa lakini sound zote zmebuma!

Upande wa pili ninapendwa na dada flan toka 2009 mwanzoni hadi leo hii, imefikia kiwango had masomo yake kaharib , na alipoulizwa na wazee wake akawapa ukweli kua ni mioe nasumbua kichwa chake.

Miezi mitatu iliyopita ailikua hospital, kisa hat atak et sabab yangu (kwa mujib wa nduguze) lakini ndugu zangu ukweli unabaki pale pale kua kwa wakat wote huu sijawah kabisa kua na feelin nae. Nilipomweleza ukweli kwa maneno ndipo hali ilpofikia kiwango hcho cha hospital.

Em jamani nambien hii inakuaje.
 
nikiwa kama chief editor wa JF, naomba ubadilishe rangi ya paragraph ya kwanza.

asante kwa ushirikiano.
 
Wakuu wa janvi nawasalim wote, jamani me nimeshawishika kuandika hii kitu manake ni personal experience. Hivi ni kweli mapenzi ni umpendae nae anakupenda au umpendae humpenda mtu mwingine na wewe kumpenda mtu mwingine tofauti na yule anekupenda tena kwa kuonesha ishara zote za upendo wa dhat??[/COLOR]

Me binafsi naona ni kama umpendae anakua hana habari na wewe halaf usiempenda ndo anakupenda ajab.Ni kwasabab imenitoke mimi mwenyew. Nishampenda dada mmoja ktk hii dunia na had leo navyoandika h thread bado nampenda mno. Ni toka 2007 had sasa, nishamweleza kwa namna zote kua nia yangu ni pete na awe mkw wa ndoa lakini sound zote zmebuma!

Upande wa pili ninapendwa na dada flan toka 2009 mwanzoni hadi leo hii, imefikia kiwango had masomo yake kaharib , na alipoulizwa na wazee wake akawapa ukweli kua ni mioe nasumbua kichwa chake.

Miezi mitatu iliyopita ailikua hospital, kisa hat atak et sabab yangu (kwa mujib wa nduguze) lakini ndugu zangu ukweli unabaki pale pale kua kwa wakat wote huu sijawah kabisa kua na feelin nae. Nilipomweleza ukweli kwa maneno ndipo hali ilpofikia kiwango hcho cha hospital.

Em jamani nambien hii inakuaje.

Hivi haya ndio mapozi ya lugha au nini?
Hii ni kiswahili cha wapi wandugu?
...Eleza matatizo yako kwa UFASAHA dogo, sio kubana pua hapa!
 
nikiwa kama chief editor wa JF, naomba ubadilishe rangi ya paragraph ya kwanza.

asante kwa ushirikiano.

nikiwa kama mrs chief editor wa JF...ewe tasia , naomba ubadilishe rangi ya paragraph ya kwanza

asante kwa ushirikiano
 
nikiwa kama mrs chief editor wa JF...ewe tasia , naomba ubadilishe rangi ya paragraph ya kwanza

asante kwa ushirikiano

msamehe, kaniPM kaomba razi, kasema hii sredi kaandikiwa na mjombaake na mjomba kaenda sokoni kidogo, akirejea atamwambia ambadilishie rangi. yeye bado hajui rangi zinabadilishwa vp hapa JF. lol ok mrs twenzetu tukatoane jasho sasa hehehe
 
Hivi haya ndio mapozi ya lugha au nini?
Hii ni kiswahili cha wapi wandugu?
...Eleza matatizo yako kwa UFASAHA dogo, sio kubana pua hapa!

ha ha ha! Nahisi alikuwa anarembua na macho wakati anaandika.
 
hizi text message za kwenye simu,zinaharibu sana kugha ya kiswahili,turudi kwenye mada,maisha usipende usipopendwa utakuwa na sononeko lisilokwisha, mwenzako anaendelea na maisha ila wewe utaishia ku imagine tu
 
Usilazimishe asiyekupenda akupende kama ww ulivyomwambia huyo anayekupenda ukweli. What goes around what comes around.
 
nikiwa kama chief editor wa JF, naomba ubadilishe rangi ya paragraph ya kwanza.

asante kwa ushirikiano.

Ma chief editor na ma mrs editors wote pamoja na wale wa style ya pakajimmy samahanin sana, kwa leo nilikua bize sana ckuweza tembelea hapa mapema.
 
Hivi haya ndio mapozi ya lugha au nini?
Hii ni kiswahili cha wapi wandugu?
...Eleza matatizo yako kwa UFASAHA dogo, sio kubana pua hapa!

kaka hapa nin ambacho hukuelewa labda! mbona unakua sehem ya tatizo bro. ka mi nabana we acha kulegeza pua!
 
Usilazimishe asiyekupenda akupende kama ww ulivyomwambia huyo anayekupenda ukweli. What goes around what comes around.

Nasadiki, manake huyo mtoto nilomhusudu akanitosa sasa anaujauzito na aliyempa hataki hata kumsikia. Mh!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom