Wakuu wa janvi nawasalim wote, jamani me nimeshawishika kuandika hii kitu manake ni personal experience. Hivi ni kweli mapenzi ni umpendae nae anakupenda au umpendae humpenda mtu mwingine na wewe kumpenda mtu mwingine tofauti na yule anekupenda tena kwa kuonesha ishara zote za upendo wa dhat??
Me binafsi naona ni kama umpendae anakua hana habari na wewe halaf usiempenda ndo anakupenda ajab.Ni kwasabab imenitoke mimi mwenyew. Nishampenda dada mmoja ktk hii dunia na had leo navyoandika h thread bado nampenda mno. Ni toka 2007 had sasa, nishamweleza kwa namna zote kua nia yangu ni pete na awe mkw wa ndoa lakini sound zote zmebuma!
Upande wa pili ninapendwa na dada flan toka 2009 mwanzoni hadi leo hii, imefikia kiwango had masomo yake kaharib , na alipoulizwa na wazee wake akawapa ukweli kua ni mioe nasumbua kichwa chake.
Miezi mitatu iliyopita ailikua hospital, kisa hat atak et sabab yangu (kwa mujib wa nduguze) lakini ndugu zangu ukweli unabaki pale pale kua kwa wakat wote huu sijawah kabisa kua na feelin nae. Nilipomweleza ukweli kwa maneno ndipo hali ilpofikia kiwango hcho cha hospital.
Em jamani nambien hii inakuaje.