Maskini ya Mungu eee!! Simba auawa mbagala Km 12 kabla ya kufika ikulu kwa J kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini ya Mungu eee!! Simba auawa mbagala Km 12 kabla ya kufika ikulu kwa J kikwete

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kwamtoro, Mar 8, 2011.

 1. kwamtoro

  kwamtoro JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 4,815
  Likes Received: 770
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa Dr bigwa wa wanyama wizara ya maliasili na utalii. Simba huyo alionekana mara ya mwisho mikumi mwezi uliopita.


  Chanza cha habari kinasema, simba huyo alianza maandamano wiki mbili zilizopita, dhamari yake ni kufika ikulu kwa Jk ili kutoa dukuduku la wanyama wote Tanzania juu ya Serekali ya CCM kuthamini ufisadi, huku ikishidwa kutatua maisha magumu ya watanzania. Serekali kwa makusudi ikamuua simba ambaye akuwa na hatia.


  Tamko, Waziri wa maliasili ajiuzuru kwa kuwa wizara yake imeshidwa kufanya kazi. Simba Yule aikuwa na ulazima wowote wa kumuua. Ametoka mikumi bila kusababisha mazara yeyote hadi pale jamaa alipomchokoza akajeruliwa. Angekamatwa arudishwe mbuga za wanyama.
   
 2. popiexo

  popiexo JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 743
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Huu ndio uwezo wao wa kufiri, mabomu yameisha muda wake badala ya kuya defuse mnayalipua, simba katoka mbugani badala ya kutumia bunduki zenye sindano ya dawa ya usingizi ili apoteze fahamu mumrudishe mikumi mnampiga risasi ya moto. mambo ya ajabu
   
 3. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,533
  Trophy Points: 280
  Hii serikali ya mkwere ni anti-conservation. Ndo mana mkwere anaona EIA ni anti-development;so most of projects which are not environmental friendly (Bilila Lodge,uchimbaji wa madini Selous,ujenzi wa barabara kupitia SENAPA n.k) zimekua zikipitishwa hata kama EIA imeonyesha mradi huo hauko enviromental and social friend au miradi mingine inafanywa au inataka kufanywa bila EIA.

  NB: EIA ni kifupi cha Enviromental Impact Assessmemt. Ingawa siku hizi inaitwa pia ESIA yaani Environmental and Social Impact Assessment.
   
 4. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kama aliandamana huyo simba atakuwa ni CHADEMA!
  Nasikia alikutana na katibu mkuu wa CDM pale kurasini baraza la maaskofu!
   
Loading...