Maskini watoto wetu...

Mla Mbivu

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
224
48
Nipo kwenye bar flan hapa maeneo ya banana zilipo bar nyingi na kitimoto.
Kwa kweli hali niliyoiona hapa ni ya kusikitisha kwani asilimia kubwa ya wahudumu wa hapa ni watoto wa kike wenye umri kati ya miaka 14 mpaka 17.
Hali inatisha wadau.
 
wanyekyusa wanasema! "umwana gwako, ugwamwinako findu" mtoto ni wa kumzaa na mtoto wa mwenzio chakula! sasa zubaa uliwe ukizania watoto
 
Wizara inayohusika na watoto ipo likizo ikirudi itashughulikia swala la ajira kwa watoto. Tusubiri.
 
Back
Top Bottom