Maskini! Ugonjwa wa figo unavyomtesa mtoto huyu!

ruanganyi

Senior Member
Aug 19, 2014
115
31
[FONT=Georgia, 'Times New Roman', serif] Mtoto Careen anayesumbuliwa na figo moja ambayo haifanyi kazi. Licha ya kuugua figo, mtoto huyo pia ana ugonjwa wa mafindofindo (Tonsillitis) unaomfanya akose raha kutokana kuwa na maumivu makali yanayosababisha ashindwe kula.
[/FONT]

Mtoto Careen Mpombo (4) (pichani), mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, yuko katika mateso makali kufuatia kusumbuliwa na figo moja ambayo haifanyi kazi.
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
[/FONT]

Akizungumza na gazeti hili, mama mzazi wa mtoto huyo ambaye pia huitwa Careen, alisema mwanaye alianza kuumwa kwa kuvimba mashavu akadhani ana mafindofindo hivyo aliamua

kumpeleka katika Hospitali ya Kisarawe iliyopo mkoani Pwani.“Hospitalini walimpa dawa ya PEN V na kumchoma sindano wakijua ni mafindofindo lakini kadiri siku sinavyozidi kusonga mbele ndivyo anavyozidi kuumwa.“Imefikia sasa anashindwa kulala kabisa, tulimrudisha hospitali baada ya kuona tumbo limeanza kuvimba, tukashauriwa kumpeleka Hospitali ya Taifa Muhimbili.SOMA ZAIDI>>>
 
Hapa ndio pa kusaidia,mwenye chochote asaidie kitoto kizuri hiki.
 
Back
Top Bottom