kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,154
Kamata kamata ya watu wanaoikosoa serikali pamoja na wapinzani kwa akili zenu mnadhani ndo mnafundisha adabu.
Yaani mnavyowafunga watu na kamata kamata mnatengeneza chuki na visasi
Hivi hawa wanaoshikiliwa mnadhani watawachekea ama kupoa? mnawapandishia wazimu
Hakika mnajiundia bomu wenyewe bila kujua madhara yake mnadhani ndo mnaubomoa upinzani? Mnazidi kuchukiwa na kupoteza wapiga kura
Nani sasa hivi mwenye akili timamu atakaye mpigia kura mccm?
Hawa mliowaweka ngoja watoke magerezani na mahabusu
Hawa mnaowanyima ajira ngoja maisha yawe magumu
Haya makodi mnayowakamua wananchi ngoja wachoke muone
Huu uchumi mnaodidimiza kwa sera,zenu za umimi ngoja mtakiona
Ipo siku tu watanzania wote tutamiminika barabarani mpaka utawala huu uondoke maana hakuna namna