Maskini Sara Simbaulanga.. Mnamkumbuka...? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maskini Sara Simbaulanga.. Mnamkumbuka...?

Discussion in 'Jukwaa la Historia' started by Mzee Mwanakijiji, Feb 1, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Hivi huyu mwanamama alimaliza kifungo chake? Mnakumbuka kosa lake na jinsi ambavyo kesi yake ilikuwa ni kama simulizi la kutosadikika.. Hivi akisikia yanayofanyika hivi sasa huko aliko si anaona aliwahi kidogo tu..

  -------------------

   
 2. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  namkumbuka huyu mama, alikuwa mwajiriwa wa bank ya NBC miaka hiyo kabla wahuni hawajaitoa zawadi kwa makaburu. milioni 60 zilim.........
   
 3. m

  mbombongafu Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa mdogo nalikumbuka hili jina long time kitambo
   
 4. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Those were good old days..., nakumbuka I was young then..., lakini huyu mama nilimuona kama Jambazi wa hali ya juu.... Lakini sasa wizi umekuwa sifa ukipata kazi nzuri after two years bila kujenga nyumba ya kifahari Jamii inakuona umezubaa...,Its sad very sad....

  The question is how did we get here....? and can we ever go back to the good old days...?
   
 5. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Embu tupe data kidogo Mkuu...sijui km namfaham sana so far as navyojua ni mwanamama aggressive aliyetumia kalamu yake vizuri kuiibia serikali!...sina hakika na kumbu kumbu zangu!
   
 6. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #6
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kama sisahau ustaadhi mwinyi alimpa msamaha kabla hajaondoka kwenye jengo jeupe
   
 7. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #7
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Nani anajua huyu mama yuko wapi sasa? nakumbuka tulishangaa sana miaka ile mwanamke kuiba pesa kama ile!!!
   
 8. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #8
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  Hii thread itatuonyesha under ages ni akina nani humu JF
   
 9. s

  shosti JF-Expert Member

  #9
  Feb 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  ukishawajua ndio nini:coffee:tujuzeni jamani alikuwa nani na alifanya nini katika historia ya nchi yetu.
   
 10. l

  limited JF-Expert Member

  #10
  Feb 2, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 300
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Duh mzee mm umenikumbusha mbali huyu mama kwa sasa ndie anaweza kujitetea "vilikuwa vijisent tu"
   
 11. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #11
  Feb 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Sio mwanamke tu..., kipindi kile kuiba pesa ilikuwa ni jambo la aibu...., yaani watu walikuwa wanakushangaa na sio wanakuadmire sahizi mtu ukiiba watu wanakusifia (hawajui kwamba hizo ni pesa zao wenye), kweli akili zetu zipo kwenye reverse gear for some time now...., tunazidi kuwa mazuzu as days goes on.... (mind evolution yetu ina-move from brightness to foolishness)
   
 12. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #12
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ninachokumbuka ni kuwa huyu Mama alikuwapua dola za marekani nyingi sana akataka kutoroka nazo nje ya nchi ila kabla hajafanikiwa dili likafumuka wakawa wanafukuzwa mpaka walipo kamatwa na hela mkononi. Nakumbuka kuna wakati yaliwahi toka mashati ya ujiuji (Kitambaa kama cha magauni ya CHARANGA kwa wanaoyakumbuka) yenye picha za dola za marekani tukawa tunayaita SIMBAULANGA.

  Kweli kabisa mwanakijiji huyu mama aliwahi, maana enzi zile wizi ulikuwa haulindwi wala kusukiwa mikakati IKULU kama ilivyo sasa ambapo angechukua kiualaini na kuzikuta nje zinamsubiri badala ya kukimbia na bulungutu.
   
 13. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  kha! thread nyingine bwana!
   
 14. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  was late 1980's or early 1990's........FRONT PAGE kwenye gaeti la MFANYAKAZI
   
 15. T

  Taso JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,649
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 180
  Pia inaonyesha kina nani wana time warp ya picha ya Tanzania kwa kupitwa na vitu muda mrefu sana hivyo kumbukumbu waliyonayo ni nostalgia ya vitu walivyoviacha zamaniiiiiii, ndo unakuta mtu anasema "Masikini Simbaulanga," utashangaa anahurumia mwizi kumbe ni self-sympathy ya ile time-warp.
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  kama huna kumbukumbu ya zamaniiiiii basi una matatizo.. au mwenzetu umefuta kumbukumbu yako yote unaishi katika sasa tu?
   
 17. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,573
  Likes Received: 18,461
  Trophy Points: 280
  Namkumbuka huyu mama akiitwa Sarah Martin Simbaulanga. Kusema kweli mimi ni mmoja walimhurumia kukanatwa. Nilimuona kama sterling wa bonge la movie.

  Pesa alizihamishia kwa king'asti chake Mombasa wakanunua mabasi ya coaster kibao ambayo nayo yalitaifishwa.

  Hata aliyoyafanya Kasusura was an action movie. Kitendo cha kudakwa kirahisi ni kama sterling kauwawa, kwa kawaida aterling hauwawi.
   
 18. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,519
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  Watu wengi hawajui thamani ya jana kuwa ndio msingi wa leo na kesho.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Feb 2, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Wengi walichosahau ni the love story behind yule mdada aisee..
   
 20. Wayne

  Wayne JF-Expert Member

  #20
  Feb 2, 2011
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 663
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hakufanya jema mkulu , huyu mama alikuwa mwizi,aliiba, aliiba fedha nyingi, alikuwa pale NBC Foreign branch sasa hivi ni makao makuu ya NMB Post mpya.Alishirikiana na kijana mmoja wa kiarabu jina lake nimesahau kigodo.Back then ilikuwa fedha nyingi approximately 60ml
   
Loading...