Maskini Rostam!

MndemeF

Member
Jan 15, 2011
35
5
Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi ujue awe tayari kufa, kufilisika au kukimbia nchi maisha yake yote ambayo wana kijani watakuwa madarakani.

Mmefanya makosa makubwa sana kumuita siku ya ufunguzi wa kampeni. Wananchi watajiuliza iweje awe yeye wa kuomba kura wakati ametoka mda si mrefu tena kwa kashfa ya kujivua gamba. Yeye kama ni fisadi mbona bsi muendelee kuwa naye!

Wananchi wa Igunga kazi kwenu kwani imesemwa mwenye macho haambiwi tizama! Uchaguzi mwema.

Jina hili chukizo, kero, vilio, damu za Wa-Tanzania; mkwapuaji mkuu wa fedha za walipa kodi na kuchangia kupunguzia serikali yetu uwezo wa kifedha kuweza kuwekeza katika eneo zima la MAJANGA NA UOKOZI panapotokea matatizo.

Zaidi ya miaka 15 tangu MV Bukoba ituvune kule Mwanza bado tumeendelea kuteketea kwa mtindo ule ule bila ya mpangilio wowote mzuri wala vyombo vya kisasa na vya haraka kuweza kufanyia shughuli za uokozi.

Na hivi sasa tunakimbilia biashara ya kuchimba mafuta nchini bila kuwekeza chochote cha maana kwenye uokozi na majanga.

Jeshi letu la ZIMA MOTO NA UOKOZI linasikitisha leo kuliko hata hali ilivyokua wakati wa mkoloni na bado tunajiringisha ati CCM yajenga nchi; my foot!!!!!!

Katika nchi aheri uwe na wahaini wa kimawazo kuliko kuwa na kijiji kizima cha matajiri FISADI kama Rostam Azizi.

Nasema huyu baba laiti ingalikua ...

Huna haja ya kuwaonea huruma CCM, nadhani ungetumia muda huo kujenga chama chako cha Magwanda. CCM imezaliwa kushinda.

Rostam anahela,heshima na sauti katika hii nchi, ameonyesha ushujaa wake kwenye siasa. Sasa wewe kabwela unamuonea huruma? Watu wa igunga wana mapenzi makubwa sana na huyu jamaa na wala hawajali hayo maneno ya chama cha misuba.

Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi ujue awe tayari kufa, kufilisika au kukimbia nchi maisha yake yote ambayo wana kijani watakuwa madarakani.

Mmefanya makosa makubwa sana kumuita siku ya ufunguzi wa kampeni. Wananchi watajiuliza iweje awe yeye wa kuomba kura wakati ametoka mda si mrefu tena kwa kashfa ya kujivua gamba. Yeye kama ni fisadi mbona bsi muendelee kuwa naye!

Wananchi wa Igunga kazi kwenu kwani imesemwa mwenye macho haambiwi tizama! Uchaguzi mwema.

Last edited by a moderator:
Rostam akikubali kwenda kwenye kampeni nasema hivi 'RA anafikiria kwa kutumia makalio yake'

Rostam akikubali kwenda kwenye kampeni nasema hivi 'RA anafikiria kwa kutumia makalio yake'

AENDE MARA NGAPI WEW HUKUMUONA IGUNGA SIKU YA UZINDUZI??ISUUE SIO ROST TAMU ISSUE NI WANANCHI WA IGUNGA KAMA WATACHAGUA CCM WOTE KWA UJUMLA WAO WANAFIKIRIA KWA KUTUMIA MASABURI YENYE MAGAMBa

Hii ya CCM kumtumia Rost tamu inaonesha jinsi ambavyo ccm iko tayari kufanya CHOCHOTE ili mradi kupata kura..

RA analazimika kwenda huko kwa manufaa ya maisha yake na kibiashara pia. CCM nao wanafiki wa kutupwa. Iweje wamvue gamba halafu wanamtumia tena.

Rostam yupo kimaslahi zaidi. Lolote analofanya lina faida ndani ya biashara zake. Hata hizo kampeni amehudhuria kwa maslahi binafsi, Hana uchungu na wana Igunga, hana uchungu na Watanzania. Ni fisadi aliyekubuhu.

chama cha magamba, nomaa, maisha mazuri ni kwa wao viongozi tu, sasa wameanza kuwaandaa watoto wao, sisi akina kalumanzila tutabaki midebwedoo!!

Namnukuu Rosti Tamu! ''Nimeamua kuachana na siasa uchwara'' mwisho wa kunukuu! Wana Igunga kazi kwenu kunyoa au kusuka.

Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi ujue awe tayari kufa, kufilisika au kukimbia nchi maisha yake yote ambayo wana kijani watakuwa madarakani.

Mmefanya makosa makubwa sana kumuita siku ya ufunguzi wa kampeni. Wananchi watajiuliza iweje awe yeye wa kuomba kura wakati ametoka mda si mrefu tena kwa kashfa ya kujivua gamba. Yeye kama ni fisadi mbona bsi muendelee kuwa naye!

Wananchi wa Igunga kazi kwenu kwani imesemwa mwenye macho haambiwi tizama! Uchaguzi mwema.

sasa nani zaidi kati ya king maker na magamba?

huko anaenda ili dili zake zisivurugike. Mfano mzuri ni majuzi serikali ilivyofumbia macho miss vodacom Tz na jamaa kakamatia mshiko wake mzuuuuuri wakati watu tukiwa tunaomboleza

Back
Top Bottom