Anaonekana kabisa kalazimishwa kumuombea kura Mgombea kwa tiketi ya CCM, moyono anahuzuni kubwa kwani anajua ya kwamba ametolewa mhanga na wenzake. Lakini hana la kufanya kwani akithubutu tu basi ujue awe tayari kufa, kufilisika au kukimbia nchi maisha yake yote ambayo wana kijani watakuwa madarakani.
Mmefanya makosa makubwa sana kumuita siku ya ufunguzi wa kampeni. Wananchi watajiuliza iweje awe yeye wa kuomba kura wakati ametoka mda si mrefu tena kwa kashfa ya kujivua gamba. Yeye kama ni fisadi mbona bsi muendelee kuwa naye!
Wananchi wa Igunga kazi kwenu kwani imesemwa mwenye macho haambiwi tizama! Uchaguzi mwema.