Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

Kwenye topic nazozielewa za hisabati ni hiyo tu probability.

Inanisaidia na katika betting
Inabidi uwe na mzuri kwenye logics ili uweze kufanyanya makadirio sawasawa..
Bila shaka wakati ule wa RFA hata wewe hukua mkubwa kihivyo.
 
Chadema wanataka sana hii redio ife badala ta kuhimiza viongoze waache kula ruzuku,wafungue redio yao
Ni vigumu sana kwa RFA kufa
 
Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Redio hii ni yetu ,ni yetu yetu
 
Kuendesha kituo cha redio au television ni gharama sana.
Kwa muda mrefu tu Sahara Media wamekuwa wakiendesha kwa hasara, ndio maana madeni yamekuwa mengi, including ya serikali (TRA). Hakuna waangaliaji, hivyo wamekuwa wakipoteza wadhamini/matangazo.

Mikopo ingesaidia mno kama wangejaribu kuji-reinvent kabisa. Lakini walibaki vile vile.
Sasa nani asikilize na kuangalia mivyombo yao ambayo ni tawi la fisiem?
Vijana Wenye akili timamu na wazee wenye akili timam ukiwatibua lazima ile kwako.
 
kwa kweli huwa naumia sana mjasiria mali mkubwa akianguka, hili naongea kutoka moyoni kwa sababu nimepitia kuanguka na kupanda katika ujasiria mali. hasa watu wa hotel , biashara za mabasi, kwa kweli Mungu awaone wote wanaopitia changamoto
Hapana mi siwaonei huruma kabisa hii radio station na TV station yao acha ipotee tu walinikera sana 2015 wao kama chombo cha habari badala ya ku balance matukio, wao ilikuwa kusifia fisiem na kuuponda upinzani mwanzo mwisho tokea hapo sijawahi tune hizo stations ikiwemo na tbccm.
 
Mgomo tena ,leo hakuna vipindi vyovyote ni mziki kwenda mbele.

Naona Mapuli hajatoa taarifa yeyote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom