kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,703
- 20,606
Kwenye topic nazozielewa za hisabati ni hiyo tu probability.Haha...aisee...uko vizuri kwenye ukadiriaji. Ni almost hapo mkuu...
Inanisaidia na katika betting
Kwenye topic nazozielewa za hisabati ni hiyo tu probability.Haha...aisee...uko vizuri kwenye ukadiriaji. Ni almost hapo mkuu...
Inabidi uwe na mzuri kwenye logics ili uweze kufanyanya makadirio sawasawa..Kwenye topic nazozielewa za hisabati ni hiyo tu probability.
Inanisaidia na katika betting
Hakika niko below iyo miaka yako mkuuInabidi uwe na mzuri kwenye logics ili uweze kufanyanya makadirio sawasawa..
Bila shaka wakati ule wa RFA hata wewe hukua mkubwa kihivyo.
Sawa Boss..enjoy jioni yako.Hakika niko below iyo miaka yako mkuu
RFA ilikuwa kubwa haswaa...Kiss FM ilikuwa na watangazaji wa kutoka nchi za nje pia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani nayo wameinunua kama Chanel teni?CCM HOYEEEEEEEE.CCM MBELE KWA MBELE.WACHA ANTONY DIALLO AISOME NAMBA EEEEEH,CCM MBELE KWA MBELE EEEE!!
Msaidieni sasa mwenzenu, mbona mnamuangalia tuChadema wanataka sana hii redio ife badala ta kuhimiza viongoze waache kula ruzuku,wafungue redio yao
Ni vigumu sana kwa RFA kufa
Zile zile tuKwani nayo wameinunua kama Chanel teni?
= sijapenda
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ila afadhari yake bwana diallo maana wenzake wametangulia mbele za haki wameacha mamilion
HahahahahaMwanamme unaejiita "love Nuru", mwenyewe una hamu ya kutiwa mimba.
Redio hii ni yetu ,ni yetu yetuInasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Sasa nani asikilize na kuangalia mivyombo yao ambayo ni tawi la fisiem?Kuendesha kituo cha redio au television ni gharama sana.
Kwa muda mrefu tu Sahara Media wamekuwa wakiendesha kwa hasara, ndio maana madeni yamekuwa mengi, including ya serikali (TRA). Hakuna waangaliaji, hivyo wamekuwa wakipoteza wadhamini/matangazo.
Mikopo ingesaidia mno kama wangejaribu kuji-reinvent kabisa. Lakini walibaki vile vile.
Sure!Sasa nani asikilize na kuangalia mivyombo yao ambayo ni tawi la fisiem?
Vijana Wenye akili timamu na wazee wenye akili timam ukiwatibua lazima ile kwako.
Kosa Lao kubwa ni kujifungamanisha na fisiem ndio kifo Chao hicho.Nini tena kimewakuta hawa jamaa
Hapana mi siwaonei huruma kabisa hii radio station na TV station yao acha ipotee tu walinikera sana 2015 wao kama chombo cha habari badala ya ku balance matukio, wao ilikuwa kusifia fisiem na kuuponda upinzani mwanzo mwisho tokea hapo sijawahi tune hizo stations ikiwemo na tbccm.kwa kweli huwa naumia sana mjasiria mali mkubwa akianguka, hili naongea kutoka moyoni kwa sababu nimepitia kuanguka na kupanda katika ujasiria mali. hasa watu wa hotel , biashara za mabasi, kwa kweli Mungu awaone wote wanaopitia changamoto