Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
StarTV wakati wa kampeni kuelekea October 2015 walikuwa wanajaza screen yooote ya tv na watu wa kijani waliokuwa wanapiga push ups. tena walikuwa wanarudiarudia sana hadi kichefuchefu.

sasa zamu yao nao kuchefushwa shubamit!
 
Matiti ya aina hiyo tunayaita mtoto nyoko.Yaani akiwa na mtoto halafu anajisikia kunyonya analivuta na kulirushia nyuma.

Mama anaendelea na kazi huku mtoto akiendelea kunyonya.

Mkuu Dripboy upo,heshima yako?Hahahahaha.

Nipo Kititimo naelekea Serengeti baa,njoo upate ka-bia safari kamoja baridiii!!!
Aaaah! Nimeikosa hiyo ofa kudadadeki hizi kazi tunazofanya za kifala sana
 
hahaaa huyu jamaa alikua ana igoma mwanza..alikua na maduka ya simu pale..nmekumbuka mbali aseee
Enzi za R.F.A

Mtangazaji: unaitwa nani
Mwili obare:naitwa Mwili obare kutoka musoma Mara
Mtangazaji: mwili obare

Naaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammm

Yani jamaa alitika mpaka radio Betri zikaisha.
 
Kama Jana wambura mtani nimemsikia toka asubh had saa tatu usiku kwenye Taarifa za habar baadh ya vpnd cjui anapumzka saa ngapi Huyu mwamba
 
Inasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Daad aisee Wapi Glory Robinson mtoto wa mama sabuni! Huyu mtoto alikuwa na sauti tamu balaa, Hii redio Mungu ahirehemu! Daah Search line...
 
Kama.vipi CCM wainunue kama walivyonunua Chanel 10 na Magic FM.
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
 
Na kuna kipindi walisimamisha matangazo kabisa. Sasa hivi kila nikifungua redio namsikia mtangazaji Rebeca Mlesi tu....nadhani kabaki peke yake baada ya wenzake wote kusepa.
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
 
Hahahahahaha Mkuu,moneo mwanyokwe kwa kukosa nafasi.Siku nyingine basi ukiwa off,salamu zao huko,nipo Kirima baa sasa.
😂😂 hiyo kirima local sana mkuu si ipo maeneo ya TRA, mazingira kama ya Regency kule ndo yalikuwa mazingira yangu.

Nina habari za nyokaa hii ikoje mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom