M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,020
StarTV wakati wa kampeni kuelekea October 2015 walikuwa wanajaza screen yooote ya tv na watu wa kijani waliokuwa wanapiga push ups. tena walikuwa wanarudiarudia sana hadi kichefuchefu.Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.
Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.
Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.
RIP RFA.
sasa zamu yao nao kuchefushwa shubamit!