N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 6,825
- 9,528
Ni DED ntwara hukoDam Mbaya alishtuka mapema akawakimbia akaenda Mlimani TV.
Now ni DC nadhani au DED
Ni DED ntwara hukoDam Mbaya alishtuka mapema akawakimbia akaenda Mlimani TV.
Now ni DC nadhani au DED
6. Charles Machugu4. Michael Noel
5. Alicia Evance
hata mm ila kulingana na shughuli za kimaisha niliamia mikoa ambayo RFA haipatikan moja kwa moja ikabidi nitumie APP yao, lakin bado ni chenga..Inasikitisha sana, mimi bado nasikiliza watanzania tuongee magazeti, nayo mara matangazo yakatike, yaani ni shida, radio ilikuwa ya mfano hii jamani kwa vipindi vyake vya kueleimisha
Hiyo studio ya Dar si ya sasa ina miaka zaidi ya 10.Halafu RFA kwa sasa ana studios 2.
Dar nako ana studio ambayo inarusha matangazo kwa baadhi ya vipindi.
Huyu Charles Machugu akiwa anatangaza habari Star TV ninaacha kuangali, jamaa anambwembwe za ajabu sana, ana cheza na macho, pua nyusi haa..mimi amenishinda kabisa.
Mie niliisha ingia hadi studio siku hiyo alikuwa anatangaza kipindi cha Mambo Mambo. Anaboa sana.Huyu Charles Machugu akiwa anatangaza habari Star TV ninaacha kuangali, jamaa anambwembwe za ajabu sana, ana cheza na macho, pua nyusi haa..mimi amenishinda kabisa.
Umesahau kipindi cha SitasahauInasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivipenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
Hiyo studio ya Dar si ya sasa ina miaka zaidi ya 10.
Awa na wale wengine wanabaki kwa kukosa work proposal kutoka kwingine au wameombwa na bodi ya Sahara media wasiondoke ikawa haibu?4. Michael Noel
5. Alicia Evance
Enzi za R.F.A
Mtangazaji: unaitwa nani
Mwili obare:naitwa Mwili obare kutoka musoma Mara
Mtangazaji: mwili obare
Naaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammm
Yani jamaa alitika mpaka radio Betri zikaisha.
MAMAAA KUMBE ULIKUWA HAUJUI HII NDIO RFA BANA KILA KITU UNAKIPATA HAPA UTAKE USITAKE UTAJIJURFA,RFA,THE SOUND OF AFRICA..Sasa ni RFA,RFA THE CRY OF DEATH
Hawa wanao haribu lugha yetu adhimu watakua wanyarwanda hao sio raiaWacha anitukanie hayo mambumbumbu masalia yenye kuharibu lugha yetu.