Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

Unacheka wakati ni jambo la kusikitisha. Ajira za watu ziko mashakani
Mbona jiwe naye kafuta ajira? Hao hao ndiyo wanaotumika na CCM na midomo yao ipo juu kusema vijana wajiajiri sijui kilimo kinalipa. Watajiajiri wala usiwaze sana maana kilimo kinalipa na watu wengi sana wamekuwa mabilionea kwa kilimo. Ha ha ha ha
Hawakusikia ule wimbo wa CCM acha waisome namba? Kipindi hicho Diallo na wafanyakazi wake wanakatika ofisini wakimpongeza jiwe walikuwa hawaelewi nini maana ya "kuisoma namba"?
WACHA WAKOME KABISA.
 
Enzi za R.F.A
Mtangazaji: unaitwa nani
Mwili obare:naitwa Mwili obare kutoka musoma Mara
Mtangazaji: mwili obare
Naaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaammm
Yani jamaa alitika mpaka radio Betri zikaisha.
haahaa unamkumbuka huyu jamaa mzee, bila shaka ni kilikua kipindi cha kutuma salam
 
kwa kweli huwa naumia sana mjasiria mali mkubwa akianguka, hili naongea kutoka moyoni kwa sababu nimepitia kuanguka na kupanda katika ujasiria mali. hasa watu wa hotel , biashara za mabasi, kwa kweli Mungu awaone wote wanaopitia changamoto
 
Hawa walipendelea upande mmoja kipindi cha kampeni kuliko hata redio na gazeti la chama tawala, hata Chanel ten walikua bora kidogo.

Anyway wacha tuisome namba, hope watajifunza kitu.
Hapo ni suala la uduwanzi wa mkurugenzi mwenyewe.
Lakini Rfa tumetoka nayo mbali. Sema biashara za kiAfrika ndiyo hivyo tena, mmiliki akizeeka na biashara inazeeka, mmiliki akifa, biashara nayo inakufa.
 
Mbona jiwe naye kafuta ajira? Hao hao ndiyo wanaotumika na CCM na midomo yao ipo juu kusema vijana wajiajiri sijui kilimo kinalipa. Watajiajiri wala usiwaze sana maana kilimo kinalipa na watu wengi sana wamekuwa mabilionea kwa kilimo. Ha ha ha ha
Hawakusikia ule wimbo wa CCM acha waisome namba? Kipindi hicho Diallo na wafanyakazi wake wanakatika ofisini wakimpongeza jiwe walikuwa hawaelewi nini maana ya "kuisoma namba"?
WACHA WAKOME KABISA.
😂😂😂😂🙏🙏
 
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa dw radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
Mbona saa hivi nawasikuliza hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom