Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,088
- 8,221
Mbona jiwe naye kafuta ajira? Hao hao ndiyo wanaotumika na CCM na midomo yao ipo juu kusema vijana wajiajiri sijui kilimo kinalipa. Watajiajiri wala usiwaze sana maana kilimo kinalipa na watu wengi sana wamekuwa mabilionea kwa kilimo. Ha ha ha haUnacheka wakati ni jambo la kusikitisha. Ajira za watu ziko mashakani
Hawakusikia ule wimbo wa CCM acha waisome namba? Kipindi hicho Diallo na wafanyakazi wake wanakatika ofisini wakimpongeza jiwe walikuwa hawaelewi nini maana ya "kuisoma namba"?
WACHA WAKOME KABISA.