Smart Technician
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 653
- 824
Unacheka wakati ni jambo la kusikitisha. Ajira za watu ziko mashakaniRFA,RFA,THE SOUND OF AFRICA..Sasa ni RFA,RFA THE CRY OF DEATH
Unacheka wakati ni jambo la kusikitisha. Ajira za watu ziko mashakaniRFA,RFA,THE SOUND OF AFRICA..Sasa ni RFA,RFA THE CRY OF DEATH
Haya tumekutana tena bibi ilacjapendaunavo crash wenzako.
Anyway...kwema bibi?
Hivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaaInasikitisha sana... nakumbuka enzi nikiwa kachalii nilivioenda vipindi vya RFA kama vile Sindano 5 za moto by Fred Waa, Show time, Weekend Fever, Search Line, Je wajua? na Michezo.
Ukisikia Neeeeews ..sauti za watangaza news zilikuwa nzuri na makini sana...
God!
= sijapenda
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ha ha ha ha ha haWambura mtani ana kipind kinaitwa JE HUU NI UUNGWANA? kila jumapili kazi kusema ya wenzake yeye anakaa had miezi 3 bila mshahara halizungumzii hili
Nakupenzi sana= wanabadilishana
= aliyebadili
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Ha ha ha ha ha haWambura mtani ana kipind kinaitwa JE HUU NI UUNGWANA? kila jumapili kazi kusema ya wenzake yeye anakaa had miezi 3 bila mshahara halizungumzii hili
Anabana pua clouds power breakfast.Hivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaa
Pia kuna kile kipindi cha sitasahau cha fredrick bundala(sky walker)
Anabana pua clouds power breakfast.
Nani kakuuliza kabila lako, mbona mnakuwa wangese hivyo??Niwaombeni viongozi wangu mnaotuongoza
Isaidieni sana RFA isife imefanya mambo makubwa katika nchi yetu
Mimi ni mchagga ila imesaidia sana maendeleo yawatu
Mh Raisi Magufuli nakuomba Baba wa Tanzania iokoe hii RFA viongozi mguswe na hili
Ha ha ha ha ha haWambura mtani ana kipind kinaitwa JE HUU NI UUNGWANA? kila jumapili kazi kusema ya wenzake yeye anakaa had miezi 3 bila mshahara halizungumzii hili
Fred Waa yupo clouds Fm..anafanya kipindi fulani asubuhi, sijui kinaitwaje.Hivi fred waa sikuhizi yupo wapi? Namkubali sana yule jamaa
Pia kuna kile kipindi cha sitasahau cha fredrick bundala(sky walker)
Teh teh asa hunawakosoa wenzio ujioni ww= sijapenda
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Jitazame sura yako, unajiona?Teh teh asa hunawakosoa wenzio ujioni ww