Maskini RFA, ndiyo kwaheri hivyo

TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
13,585
20,730
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzuni kwa kweli, watangazaji wanabadilishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa DW radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
 
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa dw radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
= wanabadilishana
= aliyebadili

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Kinachoendelea kwenye radio Free Afrika ni huzun kwa kweli, watangazaji wanabadirishana kutwa hao hao.

Cha ajabu jioni hii nahisi wamefanya mgomo, mara baada ya matangazo kutoka DW Radio hakuna aliyebadiri station au kuingia hewani, ni ule mlio wa dw radio ndiyo unaendelea mpaka muda huu.

Hata jamaa yangu aliye Arusha ananipigia akisema hiki.

RIP RFA.
watoe gawio millioni moja waombe millioni mia.
 
Similar Discussions

23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom