Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,913
Hakujua kuwa anatumika tu. Alidanganywa akajitenga na wananch wa kawaida akajiegemeza na mafisadi ya chama chake na kudhan familia ya kifisadi ingemsaidia.
Muda wa kumtumia ulipoisha walimbwaga Dodoma akiwa hana hata wa kumshika mkono. Aligundua kuwa alikuwa used but it was too late.
Mzee wa watu majonzi yake mpaka leo hayasemekani ameamua kunyamaza tu aendelee kula alivyopata.
Alidanganywa angepitishwa kwenye tatu bora za urais. Yeye hapo kabla hakuwa hata na inia ya kugombea kama si kushauriwa na kuahidiwa na kumbe alishauriwa kwa makusudi ili waje wamkate pamoja na Lowassa. Hakujua, hakujua.
Ndio huyu hapa Peter Kayanza Pinda.