Maskini KICKASS TORRENT..

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
Artem-Vaulin-640x414.png


anaitwa ''Artem Vaulin''

marekani imefuatilia kwa zaidi ya miaka 10
apple,facebook na Google zashiriki kumkamata!
jamaa alikuwa anaingiza bilion karibia 70 tsh .
...
so hata sisi humu hatuko safe..just because unatumia jina fake au avatar fake.

as long as kunasiku ulijisajiri na facebook,apple,google aka androidphone.

wakiamua kukudaka wanakudaka.

Tuwe makini na Mitandao JF
SOURCE: How did the US Government bring down Kickass Torrents?
 
Huo ni wivu tu wa Google na Apple, jamaa alikua anawafunika hiv hiv
 
Huo ni wivu tu wa Google na Apple, jamaa alikua anawafunika hiv hiv

tatizo sio wivu, kunasheria inaitwa mutual agreement.... hii ni noma kila nchi lazima ikubali kutoa information zinapo hitajika kiusalama...
 
Duh tutaisoma namba kweli!! Mara ya mwisho kununua movie sijui ilikuwa mwaka gani.
 
Back
Top Bottom