mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Afisa habari wa Mabingwa wa kandanda Tanzania Yanga Mh.Jerry Muro Leo yamempata makubwa kwani inaonekana akili zimemruka kutokana Na matokeo ya sare Na Al Ahal ya Misri.Mh.Murro amewatupia lawama waamuzi eti kwanini wameipendelea timu ya misri kinyume chake walitakiwa waipendelee Yanga.Kama haitoshi Mh.Murro akawatupia lawama mashabiki wa Simba Kwa kuvaa nguo zenye rangi nyekundu kama walivyovaa All ahal .Tunamwulisha Mh.Murro alitaka hao mashabiki wavaa rangi ya kijani Na njano?Mh. Murro ukituambia Yanga ni timu ya Kimataifa Leo imekuwaje mbona imecheza mpira wa kichangani? Viongozi wa Yanga hao waamuzi ni Afrika tatizo mmezoea waamuzi wa bongo ambao TFF inawapa maagizo wawapendelee.Yanga Mpira huchezwa uwanjani sio magazeti waini kulala.