Maskini hawa, Wanaochagua CCM ni watanzania kweli???

Luse msomba

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
228
159
Hivi hawa wanaoshabikia na kuchagua CCM ni wa Tanzania kweli ndugu zangu??Siyo kwamba hatuipendi CCM ila kwa sasa inatakiwa ikajipange kwanza. ingawa inaweza ikapotea jumla. kuichagua tena itaonyesha kutojitambua kama taifa.

-Uchumi wa nchi unakua kwa spidi ya konokono
-Vijana wengi kubambikiwa kesi
-Maisha magumu sana kwa majority
-Elimu haieleweki, quality kutofautiana kwa matabaka
-kundi kubwa la vijana halina kazi

-Maliasili za Inchi kuporwa mchana kweupe na wajanja wachache (Twiga kupanda ndege, pembe za ndovu)
-Watumishi wa uma kutolipwa stahiki zao
-Shida za maji hata maeneo yenye mito mikubwa

nk,nk,nk. Kwa akili ya kawaida, ukiwa unaandika mtihani pen moja ikigoma (CCM) unachukua nyingine (UKAWA) vinginevyo utashindwa mtihani (hiyo list hapo juu)

Je tuchague mfumo ule ule, akili zilezile, mbinu zilezile ili tuendelee kuishi vilevile kwa maisha yaleyale "Asha kunsi matusi" Tutadhihirisha kwamba majority ni hamnazo? Hatuwezi kisusia CCM nchi.
Tuwape wengine, wakishindwa tutawapa wengine, mwendo huo huo. tunataka vyama vitambue nchi siyo mali yao. Lengo la democrasia ya vyama vingi lifikiwe. maendeleo kwa nchi.
 
Mkuu mi ndo huwa nashangaa mpaka nalia sijui ni nani ametuloga watz
 
Back
Top Bottom