shalet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 3,428
- 3,510
uko very wrong ugonjwa wa figo unasababishwa na sukari na presha pia kinga yako ya mwili inaweza shambulia figo yako ikashindwa fanya kazi hayo mambo ya kusema anasa zinachangia figo na myth tu,.Inasikitisha! Hichi ndicho kipindi wengi humgeukia Muumba.Ila yafaa kila siku umuendee Mungu kumpa shukrani.Mkumbuke Mungu siku zote za ujana wako.
Japo sijui lifestyle yake ya ujanani,na kama namsingizia Mungu anirehemu,ila wengi wanaosumbuliwa na magonjwa haya ya figo,ini,mapafu n.k ukijaribu kufuatilia maisha yao ya ujanani unakuta ni yale ya anasa anasa.Unatumia pombe kali,sigara sijui ngapi kwa siku,unakunywa madawa gani sijui ili mwili wako uwe namna hii n.k jua utajiletea tabu uzeeni iwapo Mola atakujalia kufika.
Pia ni vizuri mtu ukifika umri wa late 30's au early 40's kwenda hospitali kucheki hali ya mwili wako hasa hivi viungo vya ndani vinavyoanza kuchoka.Kama kuna tatizo mf.kansa n.k unaliwahi kabla halijawa sugu huko mbeleni.Zingatia pia mlo bora hivi vyakula vya viwandani usipendelee kuvitumia.
Mwisho we amini uwepo wa Mungu.Kheri uamini ili hata asipokuwepo sio mbaya kuliko usiamini uwepo wake halafu mwisho wa siku ukamkuta!
Pole sana Dkt.Shika.Watanzania tupo nyuma yako.