Maskini Dokta Shika ugonjwa umechachamaa pesa hana

Watu wamemtumiaa weee mzee wa watu sasa wamemchoka wamemuacha mwenyewe. Where is Global Publishers? Kama waliweza kumuandalia "USIKU WA 900 ITAPENDEZA" basi wamtengenezee article kwenye gazeti lao lolote jamaa asaidiwe.
 
Inasikitisha! Hichi ndicho kipindi wengi humgeukia Muumba.Ila yafaa kila siku umuendee Mungu kumpa shukrani.Mkumbuke Mungu siku zote za ujana wako.

Japo sijui lifestyle yake ya ujanani,na kama namsingizia Mungu anirehemu,ila wengi wanaosumbuliwa na magonjwa haya ya figo,ini,mapafu n.k ukijaribu kufuatilia maisha yao ya ujanani unakuta ni yale ya anasa anasa.Unatumia pombe kali,sigara sijui ngapi kwa siku,unakunywa madawa gani sijui ili mwili wako uwe namna hii n.k jua utajiletea tabu uzeeni iwapo Mola atakujalia kufika.

Pia ni vizuri mtu ukifika umri wa late 30's au early 40's kwenda hospitali kucheki hali ya mwili wako hasa hivi viungo vya ndani vinavyoanza kuchoka.Kama kuna tatizo mf.kansa n.k unaliwahi kabla halijawa sugu huko mbeleni.Zingatia pia mlo bora hivi vyakula vya viwandani usipendelee kuvitumia.

Mwisho we amini uwepo wa Mungu.Kheri uamini ili hata asipokuwepo sio mbaya kuliko usiamini uwepo wake halafu mwisho wa siku ukamkuta!

Pole sana Dkt.Shika.Watanzania tupo nyuma yako.
 
nikisikia mgonjwa figo mwenye umri uliokwenda kama Dr. Shika amefikia stage ya kufanyiwa dialysis ki ukweli chance yake ya ku- 'survive' inakuwa ndogo …………………...Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi
Hata wenye umri kama wako chance ya ku-survive ni ndoto. Hata watoto. Mfumo ni ule ule Kwa Wote.
 
Hata wenye umri kama wako chance ya ku-survive ni ndoto. Hata watoto. Mfumo ni ule ule Kwa Wote.
Ukiwa under 30yrs unaweza ‘azima’ figo kwa ndugu au jamaa, lakini kwa umri wa dr. Shika hili la kuazima figo ni mtihani
 
nikisikia mgonjwa figo mwenye umri uliokwenda kama Dr. Shika amefikia stage ya kufanyiwa dialysis ki ukweli chance yake ya ku- 'survive' inakuwa ndogo …………………...Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi
Kama una bima ishu ya figo sio ishu ya kukuwazisha . Unaishi maisha ya kawaida tu kama utafanya dialisis na kuzingatia mashariti ya ulaji
 
Back
Top Bottom