Maskini CHADEMA, Hiyo Ndiyo Siasa

MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,377
1,194
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
 
U.p.u.u.z.i

umepata ugonjwa mbaya sana wa akili , pengine wameingia virus na wanachambulia neorns kwa kasi kubwa kuliko ile ya Wassira.

NI ugonjwa wahatari sana siji kwanini mnaupata sana CCM.
 
Nakuambia hata kama unalipwa 20 m per day hatudanganyiki hatukubali wala hatukitaki tena na kamwe chama cha ccm heri nife hata niwawe kuliko cc iendelee kuwepo 2015 inatudanganya inakula hela za wananchi hakuna kitu cha maana ni kujenga vihospitals ambavyo havina madawa kujenga vyuo vikuu havina walimu kujenga shule za kata hakuna walimu watu tunamaliza hata na kuwa na degree hadi 3 hakuna kazi what shame is this for ccm we don't like ccm anymore
dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa cdm ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
 
Na bado utawaonea huruma sana si wanajifanya eti wanachezanae kwa akili yule kijana wao anayeonekana ana hoja sn kumbe anatengenezewa na gambaziii ili awafuruge zaidi.
 
Kuanguka kwa Chadema ni hitimisho tu; hao wanaojiita viongozi wapo kutetea maslahi yao kimaisha; chama hakipo kutetea watanzania kama wanavyojinadi; Mandela kuna wakati alipewa deal na serikali ya makaburu ya kuachiwa huru na kupewa maisha mazuri ili mradi tu asijihusishe na harakati za ukombozi; hao wapigania ukombozi wenu akina Slaa leo wanapigania maisha yao utapigania ukombozi ukiwa ndani ya V8 na kiyoyozi ndani? kama si kutaka kudanganya watu ni kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
 
Kwa maana hiyo unataka kusema ccm ndio wanaostahili kuaminiwa kwa kuwa hawatumii V8 zenye viyoyozi? Kweli kujikomba kunapofusha watu! Ni serikali ya chama gani inayoyanunua hayo magari? Ni chama gani kipo madarakani? Ukombozi gani uliopatikana kwa mwananchi wa kawaida miaka yote hii ya kujitawala?

Am sorry sir, but you have shown here that you are a nincompoop!
 
Jaribu kuelewa kilichoandikwa kabla ya kutoa povu

Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
 
Source? Are you dreaming or taking a nap?
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
 
Kuanguka kwa Chadema ni hitimisho tu; hao wanaojiita viongozi wapo kutetea maslahi yao kimaisha; chama hakipo kutetea watanzania kama wanavyojinadi; Mandela kuna wakati alipewa deal na serikali ya makaburu ya kuachiwa huru na kupewa maisha mazuri ili mradi tu asijihusishe na harakati za ukombozi; hao wapigania ukombozi wenu akina Slaa leo wanapigania maisha yao utapigania ukombozi ukiwa ndani ya V8 na kiyoyozi ndani? kama si kutaka kudanganya watu ni kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
kipindi Mandela akipigania uhuru v8 zilikuwepo? Dunia imebadilika mkuu usijaribu kucompare time frame za nyakati zile na hizi. Mfano unataka kwavile Mandela alikuwa anafuga Afro kipindi kile na slaa afuge?
 
Dalili zinaonyesha chama kilichoonyesha upinzani mkubwa katika uhaguzi 2010 kimefikia haali mbay ksiasa kiasi ambacho uongozi wa chama umebaki wa wachache wateule. Hii imethibitisha maneno yangu huko nyuma kuwa CDM ni tunda la msimu ambalo halitatua mahitaji ya muda mrefu.
Chadema kinazidi kuzugukwa na migogoro siku hadi siku, maeneo yote ya Tanzania wanakiponda hiki chama kwa vile kinaendeshwa kwa misingi ya ukana, ukabila na undugu.

Nakitabiria hiki chama hakifika mwaka 2105
Tuondolee hizi Abracadabra zako hapa
 
Jaribu kuelewa kilichoandikwa kabla ya kutoa povu

Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru

Kisichoeleweka kwenye up.u.pu uliouweka ni kipi? You guys are hopelessly deluded if you think an average Tanzanian of today will believe your version of story for them to decide! But keep on dreaming that the status quo will prevail!
 
Kuanguka kwa Chadema ni hitimisho tu; hao wanaojiita viongozi wapo kutetea maslahi yao kimaisha; chama hakipo kutetea watanzania kama wanavyojinadi; Mandela kuna wakati alipewa deal na serikali ya makaburu ya kuachiwa huru na kupewa maisha mazuri ili mradi tu asijihusishe na harakati za ukombozi; hao wapigania ukombozi wenu akina Slaa leo wanapigania maisha yao utapigania ukombozi ukiwa ndani ya V8 na kiyoyozi ndani? kama si kutaka kudanganya watu ni kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
safarini Monga Vyeru
mkuu vp magamba wanatumia farasi au mikokoteni? Naomba nijuze mkuu!
 
Mkuu mimi natabiri we haufiki 2015. Lakini chama dume kama chadema kitafika na kitasonga mbele,mimi sijaona hiyo migogoro ya cdm labda mwenzetu utujuze. Cdm ni chama makini tanzania mkuu!
 
Back
Top Bottom