Maskin Tunahitaji pole ...

Jul 16, 2011
26
1
Ni sisi maskini tunaobebeshwa mizigo ya kodi,bei juu,giza,magonjwa lukuki,njaa,madeni kibao na mengine ongezea! Wakati huohuo tuliowachagua kututetea wametanguliza vitambi,anasa za kuzidi hata za babeli wakati ule,umeme kwao hawajui mgao,mafuta ya taa hawayajui,adha za usafiri hawajui maana wao wanatembelea viyoyoz na mengineyo almrad tu wanatunyonya! Tupeni pole yetu maskini maana ndio faraja kwetu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom